Ubunge Afrika Mashariki: Majina ya wagombea wa CHADEMA na CUF yakataliwa na msimamizi wa uchaguzi

CHADEMA
form ya maombi ya uchaguzi haipo

form inayonesha waombaji haipo ( Hana alingia nayo yeye mawili tu)

form inayonesha matokeo ya kura haipo (Itakuwepo vipi wakat mbowe kawaptisha yeye wawil)

Chama cha jamiiforums,Istagram,facebook, chama xha Tundu na mbowe hawatambui hata sheria duuh Aibu sana.

Wagombea wamepitishwa kiubabe na mwenyekiti cha kudumu bwana Mbowe
HII NI AIBU KUBWA KWA TUNDU LISSU ,ALIKUWA WAPI MPAKA CHADEMA KINACHEMSHA KIASI HIKI ?HATA TARATIBU TU HAWAJUI ?! AKIWA MAHAKAMANI KELELE NYIIINGI,HUKU CHAMA KINAPOROMOKA !
 
Haya sasa
picha linaonyesha hskuna fomu za wagombea
yaani waliteuana Chumbani
maamuzi yapo kwa Mbowe
nani awe mgombea
hakuna Demokrasia ndani ya chadema!!
tunasema kila siku
cdm imejaa wahuni
ni chama cha watufulani si chama cha wanachama
 
Chadema wangeambiwa kuna mwanachama kafungwa jela,haraka haraka pasi na makosa yoyote wangewahi mahakamani,lakini kujaza fomu ya matokeo wanashindwa.
Hii inaonesha kabisa kwamba hapakuwepo na utaratibu unaoeleweka,watu walikuja na majina yao mifukoni.
Na matokeo yoyote yatakayoletwa sasa yatakuwa ya kughushi tu,walioshindwa wakate rufaa ikibidi wawaengue wagombea haramu akina masha na wenje.
Tukisema ukawa wote ni wasanii na matapeli watu mnabisha,ina maana mawakili wote hao kina kibatala wako special kwa ajili ya kusimamia kesi tu?Huyo Twaha Taslima kajipeleka jina lake anataka kutuambia hajui sheria?
CCM itabaki kuwa mfano siku zote wa kufanya mambo yake kwa ustadi na uhakika wa hali ya juu
 
Hiyo kanuni ya kuchagua angalu 1/3 wawe wanawake ni katika ngazi ya vyama au wagombea wote kwa ujumla?
 
1/3 inayozungumziwa ipo ndani ya wajumbe 9 watakaopitishwa na bunge sio na vyama yani hiyo ofisiua uchaguzi ni chenga tupu
 
Kelele za nini? hapo kwenye thelusi moja ya wajumbe kuwa jinsia ya kike itawahusuje Chadema kama wawepewa nafasi ya wajumbe wawili? punguza mmoja ccm toa nafasi tatu kwa Chadema uone kama atakosekana mwanamke.
Thelusi moja ya wajumbe wawili sijui ni ngapi? Sasa hapo ndio mtakapo jua sheria wanaijua.
 
Tundu lisu kawakaa kweli ccm midomoni mwenu au ndo ccm mnakuwa washauri wa chadema.. Na kama je wanawake wamekataa kujitokeza sheria inakuaje? au ni kwa matakwa ya ccm??? Afyuku
Chadema ni chama cha wahuni
uliona wapi chama hakifuati utaratibu wakupata wagombea
wagombea wanatoka mifukoni!!
Haya fomu ziko wapi?
 
Kelele za nini? hapo kwenye thelusi moja ya wajumbe kuwa jinsia ya kike itawahusuje Chadema kama wawepewa nafasi ya wajumbe wawili? punguza mmoja ccm toa nafasi tatu kwa Chadema uone kama atakosekana mwanamke.
Thelusi moja ya wajumbe wawili sijui ni ngapi? Sasa hapo ndio mtakapo jua sheria wanaijua.

Wacha kujitoa ufahamu
Fomu zipo wapi?
 
MOTOCHINI: Wewe si unafahamu? Niambie ndugu. Hivi hiyo kanuni inasema wagombea au ni lazima? Maana yaweza tokea pasiwepo mgombea wa jinsia ya kike. Hapo kanuni inasemaje? Usiseme tena nikamuulize Tundu Lissu, maana mnaonekana kujifanya kimbelembele cha kujua kila kitu ila mkiulizwa mkielezee manakuwa wakali.
 
Back
Top Bottom