Hivi ni nini maana halisi ya kuendesha zoezi la Kura za Maoni? Na kama tayari zoezi hili limeshapoteza mantiki kwa nini bado linafanyika?
Karibuni Waungwana tujadili.
Mkuu Kwa hili Mbona Rais wa Urusi (Putin) alishasema wakati mmoja nyuma kidogo kuwa Nuukuu " Kwa viongozi wengi wa Afrika.....Afrika kwa ni mahali pa kuzikiwa tu".
Aliendelea na na malezo yake kwa kusema Nanukuu.... "Wanafanya ufisadi mkubwa katika nchi zao na fedha zao za kifisadi wanazificha...
Wana Jamii,,
Ukweli wote kuhusu ndege iliyompeleka Tundu Lissu Nairobi , Kenya na deni lake ni dolla $9,200.00 (Elfu Tisa na mia mbili tu) huu hapa kutoka kwa mtu aliyeidhamini ndege ambaye alikuwa Mbunge wa jimbo la Mpendae – Zanzibar, Marehemu Salim Turky (CCM).
Hapa kwenye clip alikuwa...
Waswahili husema Quote ..."Kufa Kufaana" au Kufarijiana, Kusitiriana na Kuf****na:-) n.k Kwi!
Kwa hiyo Bwa Mzee Zabibu ni zako hizo tena bila ya papara:-)
Unaambiwa hiyo timu ya Taifa ya Wanawake ya Bongo Za ndani unaambiwa sifa kubwa ni kuwa za 'National Milling ltd' aka"Usagaji Taifa"
Don't get wrong ni team nzuri na wadada wanajituma sana lakini nafikiri wamekosa ile 'coaching' na 'counselling' ya kuwafanya wawe kioo cha taifa.
My two cents...
Amen! Hallelujah! Amen...
Naaam! ...Kama Neno lake lisemavyo...."KIla jicho litamuona (Mawinguni akishuka akiwa na jeshi kubwa la Malaika na akiwa katika utukufu mkubwa)....Kila goti litapigwa...Na Kila Ulimi utamkiri kuwa ni "Bwana Mwokozi"! Amen.
Neno la Bwana ni upanga wa roho (wenye makali...
Sasa mbona hawatuwekei hizi habari za shule za masifuri....Wanatu habarisha tu na Ma Div 01 za 07. Zamani si rahisi kuona Div 1 za 07. Tanzania nzima Div 1 za 07 zilikuwa zinahesabika. Siku hizi darasa moja karibia 50% wanapata Div 01 ya 07 (shule moja). Unajiuliza hii ni copy & paste au ni...
Ndugu yangu, (Umeniwahi:-) Nimekaa leo na mimi nikijiuliza swali hilo hilo kuwa kwani elimu ya Tanzania sasa ikoje (kwa mantiki ya kuwa imerahisishwa kwa kisasi gani.
Nakumbuka miaka ya 80's huko let say shule yenye graduate 200 wa Form 4 unaweza kuta Div 1 may be 13,, Div 2 labda 35, Div 3...
Hiki kikao kimekuwa cha kihuni kabisa na kisichofuata wala kuzingatia haki na Katiba ya CCM yenyewe....
Angalia, walisema jenda ya kikao ilikuwa ni kujaza nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCm ndgu Kinana aliyesemekana kwamba ati "Alijiuzulu"?
Sasa Kikwete kupewa microphone na kuanga kugeuza...
YES, Ushindi wa Faustine Ndugulilekama Director wa WHO - Africa Division, analazimika kuachia ngazi nafasi ya Ubunge wa Kigamboni.
Kulingana na kanuni na polcies za UN na mashirika yake yote bna hata zikiwemo taasisi nyingine za Kimataifa kama vile World Bank IMF etc Unapochaguliwa au kuteliuwa...
Kwani si ndiyo maana Starlink walifanyiwa mizengwe na serikali kuja kutoa huduma yao Tanzania.
Wakati Starlink ilipoamua kuja na pilot plan yake ya kuja offer cheap accessible internet services Afrika, Tanzania ilikuwa ni moja ya nchi ambayo illiichagua iwe kwenye mpango wa majaribio kwa kutoa...
Eheeeh! Hivi ndio Cha Cha Mawakili wa Tanganyika (TLS) kilichokuwa kikifanana na TLS yetu (orijino) ya enzi na zama zetu hizoooo. za akina (Suleiman bin Rashid:-).
Kwa kifupi, yaani Kofia ya TLS inafanya kazi (ya kupaza Sauti) hadi raha. Yaani kusema TLS ndio imeasisiwa upya leo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.