Recent content by kashimbe

  1. kashimbe

    JamiiForums Tanzania Pale dunia inapofumbwa kwa yale yanotokea nchini Sudan

    Nimependa hoja zako,umechambua uzuri
  2. kashimbe

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Naomba namie nielekezwe picha hazifunguki,shida ni nini?Mshana junior?
  3. kashimbe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namtafuta Dada anaitwa Angel tulikutana Kahama Chillers 2015

    Uyo ni jini mahaba,tuliza duduz yako itakatwa,alikuwa kazin,anasaka wapenz,ona sasa alivyokuasili
  4. kashimbe

    JamiiForums Tanzania FT: CAF Confederation Cup: Us Monastir 2- 1 As Real Bamako

    Mkale na mbuzi sasa uko utopolon,mmeongoza wabovu wenzenu
  5. kashimbe

    JamiiForums Tanzania FT: CAF Confederation Cup: Us Monastir 2- 1 As Real Bamako

    Asante kwa taarifa
  6. kashimbe

    JamiiForums Tanzania FT: CAF Confederation Cup: Us Monastir 2- 1 As Real Bamako

    Mi nipo online,nakutegemea
  7. kashimbe

    JamiiForums Tanzania FT: CAF Confederation Cup: Us Monastir 2- 1 As Real Bamako

    Wee unakaa nusu saa ndo unatupa mwendelezo?
  8. kashimbe

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Shushushu Diwani Athumani Msuya

    Naskia yupo upareni anapungwa upepo wa vijilima vya upareni
  9. kashimbe

    JamiiForums Tanzania FT|| Horoya AC 1-0 Simba SC | CAF Champions League | Stade General Lansana Conte | 11.02.2023

    Kesho watakuwa wa moto baraa,utawasikia,kama ni wabovu nano anaongoza ligi?ndo zao izo,timu lenyewe liko shirikisho,ila linawazarau mabingwa
  10. kashimbe

    JamiiForums Tanzania FT|| Horoya AC 1-0 Simba SC | CAF Champions League | Stade General Lansana Conte | 11.02.2023

    Haaa,kesho atapanua mno domo lake,mikimbio isiyo na faida,mtamkumbuka fei
  11. kashimbe

    JamiiForums Tanzania FT|| Horoya AC 1-0 Simba SC | CAF Champions League | Stade General Lansana Conte | 11.02.2023

    Sie tuko CL wao wako shirikisho wanacheza na wakufeli wenzao,kesho watafungwa watabaki na maneno ya kuwa,waarabu ni wazuri kuliko horoya,
  12. kashimbe

    JamiiForums Tanzania Musonda weka mbali na watoto

    Aliyewaita utopolo hakukosea,sie tunawaza mambo makubwa mwili yaliyombele yetu,wao wanawaza simba tuu,
  13. kashimbe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kukimbiwa na kuachiwa bili mezani? Ilikuaje?

    Mwaka 2015 kipindi cha kampen za urais,(mabadiriko lowasa)likajichanganya buzi,likanisaundisha nami nikajaa,tukaenda sehem tulivi bin sawia,lile liheshimiwa fulu kujimwambafai,mie sipend sana izo tabia,lilopolewa sasa,kila likibanwa kojo dubwana lake linasimama kama la MBAPE,mie kitundu kidogo...
  14. kashimbe

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi "Bingwa wa Kombe la Dunia Argentina aliandaliwa Mapema na Makusudi Kabisa ili Messi Ashinde"

    Umewaambia ukwel usio na shaka,hizo penati za jana zilipindiswha na FIFA?,maumivu yakizidi mwone daktari
  15. kashimbe

    JamiiForums Tanzania Wewe mpenda Soka la Tanzania, jifunze kitu hapa ili usiyumbishwe

    Alifungwa kwao bao 2 kwa 1,na akavuliwa ubingwa kwao misri,kama misri sio uarabuni basi
Back
Top Bottom