Recent content by kashande

  1. kashande

    JamiiForums Tanzania Wafuasi wa dini ya Roman Catholic naomba kujibiwa hili swali tafadhali

    Kwa hiyo vigezo ni vipi kama umekataa yeye kuongoza nchi yenye ukubwa huko? Kama Kuna nyaraka yenye kusema nchi inatakiwa kuwa na ukubwa kiasi Fulani ,iweke mezani ijadiliwe kwa hoja
  2. kashande

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Japanese pagoda
  3. kashande

    JamiiForums Tanzania Range Rover Velar VS Land Cruiser Prado

    Kwa mazingira ya kwetu anunue Toyota TX , atakushukuru baadae
  4. kashande

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dear Baby, Ukiniomba tu hela basi mimi na wewe tumemalizana..!!!

    😂
  5. kashande

    JamiiForums Tanzania Saa moja na dakika 17

    😂
  6. kashande

    JamiiForums Tanzania Msaada: Napataje AVN na ikiwa nilishawahi unda account lakini taarifa zake nilipoteza?

    Wewe bonfya paliopoandikwa kwamba una 'account' kisha utabofya pale panaposema umesahau nywila. Baanda ya hapo itakulazimu kujaza 'username' ambayo utajaza namba yako ya kidato cha nne katika mfumo wa S..Namba ya shule/namba ya mtihani/mwaka wa kuhitimu mf: S1001/0011/2023 kisha utajaza namba...
  7. kashande

    JamiiForums Tanzania Ndege yapaa na kuacha chini matairi

    Mwenyezi Mungu awape wepesi
  8. kashande

    JamiiForums Tanzania Mfahamu mtunzi mahiri wa nyimbo za kikatoliki marehemu John Stephano Mgandu

    Kwa kweli sina shaka na utunzi wa nyimbo mbalimbali za John Mgandu na mimi ni mmojawapo wa wapenzi wa tunzi zake. Pamoja na weatunzi wengine uliowainisha mwangalie na mtunzi mwingine mahiri kutoka Jimbo la mbeya Fr. Gregory F. Kayeta (Marehemu) na yeye kazi zake za utunzi zinaishi kwa maana na...
  9. kashande

    JamiiForums Tanzania DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

    Mimi naona changamoto pale Mbezi Louis. Wake askari hawafanyi kazi sawasawa, hawaangalii mistari ya abiria mpaka inavurugika ndo utawaona na pia hawana kauli nzuri ya huduma kwa wateja. Pili naona ni muda muafaka wa kurudisha kadi na Sisi tuwe tunachanja maana tumezidiwa na TERESA wao wana kadi...
  10. kashande

    JamiiForums Tanzania Kamanda Ng'anzi: Kuweka Plate number yenye 3D sio kosa

    Kwa maelezo hayo ni kwamba hizo plate number hazitakiwi. Hao waliopewa tenda hawatengenezi hizo 3D
Back
Top Bottom