Recent content by kashaijamakaka

  1. K

    Single fathers and mothers njooni tujenge familia

    Jamani hilo group la single fathers / mothers mbona silielewi ni kweli limeundwa or not?
  2. K

    Nimeingia kwenye bifu zito na mgoni wangu Boloyank, amekodi watu "wanipige mashine"

    Mkuu hii case haitaji utatuzi wa kidiplomasia hii issue ni ya kibabe tu,dah i wish ningekuwa wewe huyo jamaa angeleta ukoo mzima kumuombea msamaha
  3. K

    Basi gani zikitoka Mwanza zinafika Dar bila kulala Morogoro?

    Safari ya mwnz-Dar it's all about timing wakuu, ipo hivi kama dreva hataki kulala morogoro basi inabdi afanye mpango wa kufika dodoma kabla ya saa moja jioni. Akifika dom kuanzia saa 11 -12:30 jioni basi dar saa 5:30 mpaka 6 usiku anatoboa Sababu nikuwa kuanzia saa 11 za jioni kutoka dodoma...
  4. K

    Muhimu: Mambo makuu usiyopaswa kumwambia mke wako milele

    Dah umenifanya nicheke mkuu, asante kwakuniongezea siku
  5. K

    Kwa wazazi tu:Suluhisho kwa watoto wasiopenda kula

    Wakwangu mbinu ninazotumia ni tatu (1) wakati wa kumlisha simu hii kuendelea na michezo yake so namuweka chakula mdomoni then namuacha afanye michezo yake uku nikimuongelesha (hii ya kumuongelesha anamfundshia ameze haraka ) hivyo akimeza namfuata pale alipo na kumuweka chakula tena mdomoni...
  6. K

    Single fathers and mothers njooni tujenge familia

    Asante Doris Sent using Jamii Forums mobile app
  7. K

    Single fathers and mothers njooni tujenge familia

    Mleta mada anataka tushirikishane changamoto ila naona wengi mmeenda nje ya mada. Am single dad with two kids mkubwa ni wakike mdogo ni wakiume, changamoto kubwa naipata kwa huyu wa kike hapendi kula kabsa tangu akiwa mdogo now ana 5 yrs, kuna wakati ili ale inabdi nimuimbie wimbo anaoupenda...
  8. K

    WW1, WW2 na kinachoendelea sasa Middle east vilipangwa mwaka 1871 kama barua hii ni kweli

    Ni kweli kabsa, bahati mbaya sana watu wengi hawaelewi haya mambo hivyo unaitaji kuwa mvumilivu sana maana wapo wanaojifanya wanajua kumbe hawajui kitu kabsa.Nipe muda nitakutafuta pm hakika hautojuta kunifahamu. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. K

    WW1, WW2 na kinachoendelea sasa Middle east vilipangwa mwaka 1871 kama barua hii ni kweli

    Kuna mambo ambayo always uwa natamani kuyasema dunia ijue ila kila nikitaka kuyasema uwa napatwa na hofu ya ajabu, kuptia bandiko hili nitafanya uchaguzi wa mtu ambae nitampa habari zote then yeye atakuwa anazileta kwenye jukwaa kama hili. Nb kile unachojua kuhusu ulimwengu uhu ni sawa na tone...
  10. K

    Safari ya kutafuta mke wa kuoa

    Wapendwa salamu nyingi sana. Poleni na majukumu na hongereni kwa ufanisi wa kutwa nzima ya leo. Jamani mwenzenu safari yangu bado sijafanikiwa kupata mke japo hivyo pls kwa wadada ambao mpo seriously naomba tutafutane pm. Sifa za mke nimtakae unaweza kuzisoma kwenye bandiko langu la awali...
  11. K

    Alieleta udini kwenye ndoa alaumiwe

    Ndio uombe ukutane na Mwenye uelewa juu ya ukweli uo ila wengi wao wameshikiwa akili mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  12. K

    Mwanamke wa kuoa

    Amen nashukuru Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom