Recent content by Kaseko

  1. K

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Mtakatifu Agostino ni majanga

    sio kweli moderator naomba uifute hizo thread, mimi huwa natumia sana library wanafunzi wengi wanaosoma public relation huwa hawaendi kusoma sababu floor yao na yetu zinapakana sasa, yeye anakosa vitabu wakati vitabu hivyo ni vingi na huwa kuna nakala nyingi na ukikosa kitabu ukiienda librarian...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kamanda Meshack amnadi mgombea uhenyekiti wa serikari ya kijiji Kahangara Magu leo kupitia CHADEMA

    kweli kijana nakuja alhamis tuje kuongeza nguvu huko
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kamanda Meshack Micus kuongeza nguvu kwenye timu ya kamanda Mawazo huko Magu

    Hata mimi nakuja Magu siku ya alhamis ili kuongeza nguvu pamoja na kamanda wangu mawazo sababu ni mwl. wangu ili aone matunda ya miti aliyokuwa akiipanda. HAKUNA KULALA MPAKA KIELEWEKE MAGU kwenye chaguzi za vijiji na vitongoji.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA hawaadhimishi siku ya kuzaliwa kwake?

    waadhimishe ili iweje, chama bado kinajengwa kama ni gorofa la floor kumi ndio kwa nza liko kwenye floor ya ya tisa
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wa serikali ya Kikwete Wazomewa Mwanza

    Ni kweli leo wamezomewa sana, walokuwa wakizomewa ni nnape na yule babu(yule mchezaji wa reserve) wamezomewa sana wakaamua kuwapiga vijana na nimeshuhudia wakimpiga machinga mmoja alikuwa kwenye biashara zake makoloboi wakamuumiza mbele ya polisi kisha mahali alipokuwa amepanga bidhaa zake...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ni kweli tunahitaji mahakama ya Kadhi na kujiunga na OIC?

    acha uongo kwa takwimu za mabadiliko ya katiba mpya inaonesha kuwa kati ya mikoa ya kanda ya ziwa shinyanga ndio inaonesha kuwa wanahitaji mahakama ya kazi, takwimu zinaonesha kuwa kati ya aslimia zaidi 80 waliotoa maoni wanakubaliana na mahakama ya kazi.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mdada natafuta mchumba

    ni pm tuongee vizuri hata mimi natafuta mke wa kuoa
  8. K

    JamiiForums Tanzania Barchelor of Arts with Education(B.A.E.D)

    apply utapata tu tena na mkopo juu, apply vyuo vya SAUT na hakika utapata tu.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa vijana CCM kata Kisesa ahamia chadema.

    liko jimbo la Magu Mkoa wa Mwanza nje kidogo ya jiji la Mwanza.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Wabunge kupiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu Pinda?

    Nilitaka kujua Mh.zitto alifanikiwa zoezi lake bungeni baada ya kuwaomba mshikamano jana.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mkutano mkubwa wa CHADEMA Dodoma

    dini ya babako
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM Morogoro ampiga askari Msamvu kisa kasimamishwa na traffic

    ni ustaarab, tena akome hao maaskali huwa wanashabikia ccm sana,anamsumbua mweny dola tena chama tawala hana adabu huyo askali.
  13. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    sijatumwa mkuu.....ccm walitamba sana
  14. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    RFA sasa wanaripot ati kuna mchuano mkali na huyo mwanahabari wao yumo chumba cha kuesabia eti kamanda Nassari amesusia matokeo na ametoka nje hana time kabisa tunaomba taarifa.
Back
Top Bottom