Recent content by kasareman

  1. K

    Baraza la Mitihani (NECTA) latangaza Matokeo ya Kidato cha Nne 2015

    Wadau wa jukwaa hili la fikra huru...! Nawasalimu nyote! Matokeo ya kidato cha nne 2015 ndiyo yameshatangazwa, ufaulu unaonekana kushuka kidogo. Lengo la uzi huu ni kujaribu kupata maoni ya wadau mbalimbali juu ya jinsi ya kuwasaidia wadogo zetu ambao wamepata alama za chini au zisizowapa fursa...
  2. K

    Sitti Mtemvu ajivua taji la Miss Tanzania 2014, Lilian Kamazima amrithi!

    kinachoboa hapa ni kwamba hakuna hatua za kisheria zitazochukuliwa dhidi yake kwa kudanganya umma. Watataka tuone kwakuwa kajivua taji basi inatosha.....nadhani panahitajika hatua zaidi ya kuvua taji!
  3. K

    Jaribu hii

    aahh!...napita!!!
  4. K

    Mambo yaendelea kuwa Magumu KUZIMU!

    still loading.....naona kama mnaandika codes zakuandika software! fungukeni!
  5. K

    Magaidi hawana mpango wa kushambulia shopping malls zetu?

    Wadau hebu nisaidieni kwa hili! Wakati westgate iliposhambuliwa kule kenya, huku kwetu hasa pale mlimani city na kule kwa manji pale mtava, paliwekwa ulinzi ulioambatana na kupekuliwa na kusachiwa kwa vifaa maalumu. Ila kadri siku zinavyokwenda naona hakuna tena ulinzi, au unakuwepo mara moja...
  6. K

    Atm ya crdb buguruni sheli inanuka

    hii imenitatiza...lazima niifikishe kwa wahusika!
  7. K

    Aibu: Mfanyabiashara maarufu jijini Dar Anaswa Live akila Uroda Gesti na Denti wa Shule ya Msingi...

    hivi tofauti nini kama angekutwa na kijana wa rika lake? je ingekuwa tofauti? au pengine tendo lingekuwa tofauti? umri unabatilisha au kuhalalisha tendo la kujaamiana? nionavyo mimi, yote ni sawa, after all ni hulka ya kiuanaume kupenda binti mmbichi. Nadhani wakati wa kulaani matendo haya...
  8. K

    NMB MOBILE mnatuboa watanzania

    Zama za kulazimishana kwamba mshahara lazima upite bank fulani sasa umefika ukingoni, mfumo wa sasa wa hazina unaruhusu mshahara wako kupitia bank yoyote unayotaka, lakini pia unaweza kukopa bank yoyote bila kulazimika kuhamishia mshahara kwenye bank unayotaka kukopa.....! hili la mobile banking...
  9. K

    CRDB siyo Salama kwa Hela zetu

    Cheak PM ako...tuwasiliane...pole kwa usumbufu uliopata.
  10. K

    Mkapa alitudanganya, Mwl Nyerere hakufariki Oktoba 14 !

    si issue sana kufahamu....the fact he is dead inatosha....ingekuwa issue sana kama ungetuambia nyerere yuko somewhere anakula bata na balali!:tape:
Back
Top Bottom