Recent content by Kasanghwa

  1. Kasanghwa

    JamiiForums Tanzania Degree ngumu kusoma hapa Tanzania

    Duniani kote fani ni tatu tu tangu enzi na enzi. 1. Law 2. Medicine 3. Engineering. Nyingine zote ni zao la hizo hapo.
  2. Kasanghwa

    JamiiForums Tanzania Malizia hii sentensi: Tanzania ukitaka kuishi kwa furaha usikose…..?

    Kwa hatua tuliyofikia kama nchi, mguu wa kuku ni muhimu nyakati hizi ili uishi kwa kujiamini.
  3. Kasanghwa

    JamiiForums Tanzania Kuwa na mahusiano na mabinti wa vyuoni na walimu wao, njoo ujionee

    [emoji122][emoji375][emoji375][emoji375]🪛🪛🪛🪒[emoji419][emoji419][emoji625]
  4. Kasanghwa

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa Katiba mpya uanze 2030s ili tupate muda wa kufanya amendment za sifa za kielimu za wabunge na Viongozi wa vyama vya siasa

    Sijui kwa nini Phd inatumika kwenye siasa. Hiyo level ya elimu ni mahsusi kwa ajili ya tafiti za kutafuta suluhisho la matatizo ya jamii. Nchi nyingi zilizo endelea wenye Phd wapo vyuo vikuu au kwenye taasisi za utafiti. Si siasani!
  5. Kasanghwa

    JamiiForums Tanzania Mbunge Cherehani: Kwanini wagonjwa wanalipa fedha kumuona daktari kwenye hospitali za umma

    Mkuu usitumia hasira kufanya maamuzi. Castration!! Dah.
  6. Kasanghwa

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Waliotaka kutuharibia amani ili kuharibu sifa ya Tanzania washindwe na walegee

    Jamani, hivi hatuwezi ku-move on!? Kila siku mambo ya Mo29!!! Iwe michezo, iwe ziara rasmi za viongizi aagh!! Inaboa aisee.
  7. Kasanghwa

    JamiiForums Tanzania Nimekutana uso kwa uso na jirani akichungulia nyumbani kwetu 😒

    Dah!! Sina neno hapa!!
  8. Kasanghwa

    JamiiForums Tanzania Wale mliokuwa mkiwashangilia CNN kwa Taarifa yao wapigieni Simu muwaambie waje kuona Amani iliyoko Tanzania kwa Siku ya Leo

    Hakika umenena vema. Tanzania ina utulivu ila haina amani!
  9. Kasanghwa

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe acharuka CCM ku-"salenda" siasa kwa vyombo vya dola

    ROMA na STAMINA wana wimbo wao unaitwa "Abdul". Kuna mstari mmoja unasema " Kichaa hachekeshi akitoka kwako, utajikuta unalinda komwe unaacha tako".! Mwisho wa kunukuu.
  10. Kasanghwa

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kumbe alifeli form 4, Kiswahili tu ndio alipata D

    Kazi ya Raisi ni kutatua changamoto za nchi na wananchi kwa ujumla. Elimu inasaidia na kutoa uwezo wa kupambanua mambo.
  11. Kasanghwa

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuna la kujifunza kutokana na matatizo tuliyopata, somo la kwanza ni kulaaniwa na Sheria kwa kuidharau na kujichukulia maamuzi wenyewe

    Kumbe ni mwansheria. Nilidhani wewe ni jaji. Kuwa mwanasheria hakuwezi kuweka haki kwa mambo yanayoendelea sasa.
  12. Kasanghwa

    JamiiForums Tanzania What if nafasi 4 za ubunge zilizosalia wanapewa CHADEMA?

    Kwa zama hizi na hasa kwa TZ, imekuwa ni kawaida kutengeneza tatizo halafu inaletwa suluhisho kisha wahusika kujisifu kwa kuleta suluhisho.
  13. Kasanghwa

    JamiiForums Tanzania Asilimia 70 ya wasomi Tanzania ni watu wasiojitambua ukiweka cheti pembeni ni sawasawa na bodaboda darasa la 7C

    Mtoa mada amechanganya vitu kadhaa! Kwanza kuna tofauti kati ya kusoma na akili (intelligence) Pili kuna watu ni intellectual lakini hawana nafasi kwenye serikali Tatu kuna watu wamesoma lakini sio intellectual Nne kuna watu wapo kwenye serikali wamesoma na intellectual lakini hawana...
Back
Top Bottom