Habari za wakati huu wanajamvi
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza. Nakuja mbele yenu kwa unyenyekevu mkubwa kabisa kuomba koneksheni yoyote ya kazi.
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 29 mwenye familia ya mke na mtoto mmoja.
Hadi naandika uzi huu ni Kwamba maisha yangu ni...
Mkuu mimi Nina leseni A,B,C1,C2,C3 na D kama kuna fursa ya udereva nipigie muda wowote hata usiku saa 9/10
0614819125
Mm ni jobless mkuu napatikana Tabora kwasasa lakni popote nafika kupambana mkuu
Kichwa cha Habari hapo juu ndio lengo hasa la Uzi huu.
Nipo mbele yenu wakuu kuomba mtu yeyote mwenye koneksheni ya mambo ya UDEREVA iwe kwenye kampuni ama shirika Ama mtu binafsi nipo tayari kupambana.
Kwasasa sina kazi yeyote na isitoshe nipo na familia.
Leseni yangu yenye madaja A, B, C1...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.