Recent content by karonga

  1. karonga

    JamiiForums Tanzania Trafiki andrew aliyehusika na tukio la ugomvi lugalo leo huwa anatabia ya kufokea madereva

    Kama hatokufa mwenyewe atasema ni Nani aliempiga
  2. karonga

    JamiiForums Tanzania Trafiki andrew aliyehusika na tukio la ugomvi lugalo leo huwa anatabia ya kufokea madereva

    Labda wamuuwe lakini akitokea salama ninauhakika mwanba atalipa kisasi
  3. karonga

    JamiiForums Tanzania Kaka zangu naomba mnisaidie.Sitaki kurudi Misri ya u singo maza

    Achana nae huyo kichefuchefu wako Kwa nini uteseke njoo tufurahie maisha ya familia zakifalme
  4. karonga

    JamiiForums Tanzania Kaka zangu naomba mnisaidie.Sitaki kurudi Misri ya u singo maza

    Hapo Kwa upande wangu itakuwa mgumu sijui wengine, maana haiwezekani nikufundishe jinsi ya kumfanyia mwanaume mwenzangu akupende wakati Mimi mwenyewe nakupenda, usitumie nguvu kubwa kumfanya mwanaume akupende, wewe mtafute akupendae tu maisha yaendelee, kama huyo kakuchoka njoo kwangu...
  5. karonga

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Naona tumerudi kwenye default setting, tushaukalia huko
  6. karonga

    JamiiForums Tanzania Miaka 30 ya Bongo flavor

    Nipe tako utajua
  7. karonga

    JamiiForums Tanzania Miaka 30 ya Bongo flavor

    Hili tamasha la miaka 30 ya bongo fleva limeibua mambo mengi tusioyajua, ni bora kusikiliza zile nyimbo zao za zamani kuliko kuwasikiliza hawa wasanii, Sauti zao zimepotea kabisa, sijui ni uzee au washazilia unga, bangi na pombe sielewi, ninachojua ni kuwa Dudu baya ndie pekee mwenye sauti yake...
  8. karonga

    JamiiForums Tanzania Kutoka kuwa fundi simu hadi kuwa winga na kumiliki duka la simu nikiwa mwanafunzi wa miaka 20, hadi kufilisika na kutafutwa na Polisi

    kuanzisha uzi humu unaohusu maisha yako unatakiwa uwe umefanya maamuzi magumu, tofauti na mitandao mengine humu we dare to talk openly, inabidi story yako iangaze nyanja zote hata kama utawatungia, ilimradi mambo yaende, nadhani jamaa alivyoambiwa atie story za mizagamuwano ndio kaona huu msala...
  9. karonga

    JamiiForums Tanzania Hivi wale wadada wa enzi ile JF wako wapi? Hebu watag hapa waje tujikumbushe nyuma kidogo

    Jonah, lara1 wote ni wake zangu
  10. karonga

    JamiiForums Tanzania Kutoka kuwa fundi simu hadi kuwa winga na kumiliki duka la simu nikiwa mwanafunzi wa miaka 20, hadi kufilisika na kutafutwa na Polisi

    Wewe jamaa umenikumbusha enzi zangu na mimi nasoma IFM hiyo kukosa mitihani na kufanya special test ilikuwa ndio zangu, tena mimi kuna siku usingizi unanipitia mpaka kwenye final exams, nilichokuwa nafanya ni kwenda hospitali ya amana natoa chochote wananiandikia cheti feki, nakuja kusubmit...
  11. karonga

    JamiiForums Tanzania Nakuja kwako, ila hatufanyi kitu 🤭

    Katika mtu anaeongoza kwa kuingia na pisi geto na hazigongi basi mimi ni namba moja duniani, pisi nilizoingia nazo hazina idadi, na wengine tunaishia kuchezeana mpaka mbususu naichezea vya kutosha kwa madole lakini tukishafikia stage hiyo halafu bado unatia nyodo nakuacha na mchezo unaishia...
  12. karonga

    JamiiForums Tanzania Ukweli Humuweka Mtu Huru: Nimechoka Kujiuza, Nimechoka.

    Dah eti kima cha chini, kwani kazi ya serkali hiyo?
  13. karonga

    JamiiForums Tanzania Mwanamke asipofikishwa kileleni hupata athari zipi; kimahusiano, kisaikolojia na kiafya?

    Itabidi utuambie asipofikishwa kileleni kwa sababu mwanaume hadisi, amemtelekeza hafanyi nae tendo au kivipi asinine kileleni, kama mwanaume anakuvulia chupi yake na uboo anakupa ni jukumu lako kufika unakokwenda, sasa ukijitia huna hisia, mimi ni nani kupotezq muda wagu kukupa hisia kama wewe...
Back
Top Bottom