Recent content by KARIM GWAJE'S

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanaume,umri 30-36

    Inawezekana wewe ukawa ajuza lazima utaje umri wako kwanza
  2. K

    JamiiForums Tanzania Modulator na amplifier booster

    Wakubwa mimi nina shida nianzishe mfumo wa cable hivyo nina shida ya modulator na amplifier booster za kusukumia mawimbi kwa wateja wangu mwenye ujuzi anipe mawazo.
  3. K

    JamiiForums Tanzania sijui ni ugonjwa gani huu

    naomba mnisaidie nilishiriki na duu mmoja asubuhi yake nikikojoa mkojo hutoka taratibu na kwa maumivu :teeth:
  4. K

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri ndugu zangu

    kijana kula maisha dogo atakuja tu mwenyewe fanya mambo yako
  5. K

    JamiiForums Tanzania Jipatie Qsat Q23G HD satellite FTA receiver

    bei ya best hd king'amuzi shs ngapi?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Jipatie Qsat Q23G HD satellite FTA receiver

    Sasa nimeelewa ngoja nijipange nichukue mzigo
  7. K

    JamiiForums Tanzania Jipatie Qsat Q23G HD satellite FTA receiver

    Wana jf ebu naomba kufahamishwa vizuri kuhusiana na hivyo vingamuzi ukinunua kuna malipo tena au
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

    thanks alot
  9. K

    JamiiForums Tanzania Usingizi baada ya chakula cha mchana husababishwa na nini???

    ahaa kumbe mimi ninakunywa kahawa nina faida
  10. K

    JamiiForums Tanzania Jamani nina Gonorrhea?

    inaonyesha unajiamini kupita kiasi
  11. K

    JamiiForums Tanzania Dawa ya nguvu za kiume hadharani bila malipo!

    hii sasa inakuwa balaa ya vitunguu
Back
Top Bottom