Recent content by Karijombwe

  1. K

    Fahamu Kuhusu Biashara ya Clearing and Forwarding Agent

    Toa maelezo ya kutosha chief. Njaa zipo kwenye kila biashara kama kuna udhaifu wa mikakati na jitihada zako.
  2. K

    Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

    Mkuu naomba tafsiri ya wimbo wa Iyolela ulioimbwa na Nana Akumu wa Afrisa International
  3. K

    Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

    Ndugu habari...naomba mashairi na tafsiri yake ya wimbo wa Iyolela ulioimbwa na Nana Akumu wa Afrisa International. Natanguliza shukrani zangu
  4. K

    Plot4Sale Viwanja vya Makazi kwa bei nafuu

    Hilo jina unalotumia linatisha wateja. Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
  5. K

    Zitambue wilaya za Tanzania na fursa zake ki biashara, ufugaji na kilimo kwa hiki kipindi...

    Leteni mavitu basi ndugu zetu huko mawilayani. Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
  6. K

    Nalaani vikali DC MOSHI kukamata mafundi ujenzi site kisa wanajenga nyumba isiyokuwa na kibali cha ujenzi

    Learn to read btn the lines pumbavu wewe. Hoja hapa sio kufuata utaratibu hoja ni gharama kubwa za huo utaratibu uliowekwa. Unaposema watanzania hawapendi vitu vizuri wewe ni raia wa nchi gani na kama sio mtanzania huu uzi unakuhusu nini!?
  7. K

    Nalaani vikali DC MOSHI kukamata mafundi ujenzi site kisa wanajenga nyumba isiyokuwa na kibali cha ujenzi

    Kwa mtazamo wako sheria ni msahafu kwamba haziwezi badilika na watu hawapaswi kuonyesha udhaifu wa sheria hizo. Jifunze kusoma kiini cha taarifa sio unakurupuka na kujiona wewe ndio unastahili zaidi kwenye hii platform. Jamaa amejaribu kuonyesha udhaifu wa hiyo sheria/utaratibu , utekelezaji na...
  8. K

    Muleba Kagera: Wananchi wenye hasira Wamuua na kumchoma moto Kikongwe, wamtuhumu kwa mauaji

    Wamejuaje kama huyo kikongwe amehusika!!?? Jeshi la polisi likamate wauaji wa huyo bibi na wafikishwe kwenye vyombo vya sheria. Napinga utekaji na mauaji ya watoto lakini makosa mawili hayasawazishi. Mambo ya kuchukua sheria mkononi yanapaswa kupingwa vikali na wahusika wachukuliwe hatua kali za...
  9. K

    Hatua Business Consultancy

    Tunafanya kazi zifuatazo....Audit (Ukaguzi), accounting(uhasibu/mahesabu), tax advice (kodi), management, information technology and human resource consulting, Financial advisory services including mergers and acquisitions, business recovery, project finance and litigation support and business...
  10. K

    Hatua Business Consultancy

    Tunafanya kazi zifuatazo....Audit (Ukaguzi), accounting(uhasibu/mahesabu), tax advice (kodi), management, information technology and human resource consulting, Financial advisory services including mergers and acquisitions, business recovery, project finance and litigation support and business...
  11. K

    Elnet Africa

    Kwa nini usielezee humu....au ndio unataka tuingizane mjini sasa
  12. K

    Natafuta kiwanja cha kununua

    Njoo nikuuzie kiwanja Kivule-Sirari....jirani kabisa na Banana...bei 2m....ukubwa 400sqm...karibu
  13. K

    Kiwanja kinauzwa kivule - Tshs 1,800.000

    Kivule ipo Dar es Salaam!.. Jirani kabisa na Ukonga!
  14. K

    Kiwanja kinauzwa kivule - Tshs 1,800.000

    Kipo Kivule-Sirari. Ukubwa 400 msquare(20m×20m). Bei chee Tshs 1,800,000/= Umeme na maji vipo. Mita 150 kutoka barabara kuu. Gari kubwa inaingia mpaka kiwanjani. Kipo jirani na nyumba za kisasa kabisa. Mwenye nia ya kununua tuwasiliane kupitia 0756837183 au email eddiempate@gmail.com KARIBUNI SANA!
Back
Top Bottom