Elnet Africa

Ngereza ally

Member
Mar 23, 2017
40
4
FURSA FURSA

Karibuni katika fursa kupitia kampuni ya ELNET AFRICA,iliyoanzishwa nchini Tanzania.
ambapo imeandaa mfumo ambao humuwezesha mjasiriamali kuongeza kipato au mtaji wake zaidi na zaidi kwa kuwekeza kiasi cha TSH 10,000 TUU.

Inbox me in 0657576488
nikuelezee kwa kina mfumo huu unavofanya kazi.

*******2017
db4e03d81140483462fb947c970b523c.jpg
965531fe5f6a263c035a2ca4a9bb059c.jpg
*******
 
Hawa majamaa ni matapeli kinoma. Dont try kabisa... Naijua sana hii kitu na hata mwazikishi wake Deo Mbassa namjua sana. Ni ujanja ujanja
 
Elekeza humu humu
Exactly!

Nadhani inbox inaficha Mambo mengi.Mleta mada angeandika maelezo ya kutosha ili hata kina sie holoi poloi tusiojua inbox tuelewe kwa kina.

Tupe maelezo ya kina Mkuu.Mmiliki "Mpebari" au Mjamaa",Inavyo-operate,Namna ya kunufaika na ulichokiita "Fursa" nk.
 
Back
Top Bottom