Recent content by Kariakoo

  1. Kariakoo

    JamiiForums Tanzania Hivi Huyu Jamaa ni Nani?

    I forgot his name, but if it will help, he went to Azania in '90.
  2. Kariakoo

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ku install window kwenye aina hii ya computer

    Nadhani unaweza ku-run Virtual machine kwa ubuntu, basi download MS onto usb drive, then install as virtual machine instance to emulate x86. pia inategemea nguvu ya machine yako.
  3. Kariakoo

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam City in Photos

    Swali la kizushi wakuu, mbona haya majengo yote Marefu yanaitwa "Towers" , kwa nini yasiitwe "mnara" ni kasumba au kufuata mkumbo "trend" :shock:
  4. Kariakoo

    JamiiForums Tanzania Hi picha ina picha ngapi zilizokuwemo ndani yake? jaribu kuchunguza kisha nipe jibu

    Ungeuliza kuna sura ( faces ) ngapi au macho mangapi ingekuwa rahisi. Maana kama picha hapo ipo moja tuu :lol: , au unatugega nini mkuu
  5. Kariakoo

    JamiiForums Tanzania Tetesi.Sir Alex Furgason akata rufaa.

    It was very Messi, wachezaji wa ManU bado wanakizunguzungu:mimba:
  6. Kariakoo

    JamiiForums Tanzania Ipe maneno hii picha.

    Man United !!
  7. Kariakoo

    JamiiForums Tanzania Raha jipe mwenyewe!!

    Anajaribu kujifrizi, mwambienei dar joto!! angefantia Alaska
  8. Kariakoo

    JamiiForums Tanzania Beyonce vs. Rihana

    Beyonce !! hands down:pound:
  9. Kariakoo

    JamiiForums Tanzania Lewis Halmiton racial banter mars his career................

    Hoyaa alikuwa anatania tuu, ndio maana akafananisha na Ali G.
  10. Kariakoo

    JamiiForums Tanzania Kitoweo!

    Kitoweo !!!:tonguez: Hiyo wanatengeneza pesa nzuri kwa ngozi tu, imajini mikoba, walet viatu vingapi vitatoka hapo. nipeni email zao tufanye deal sisi:biggrin1:
  11. Kariakoo

    JamiiForums Tanzania Kitanda Cha Ukweli

    nikipata kimoja wapo hapo, maumivu yote ya mgongo wa "BOXI" yataisha lol
  12. Kariakoo

    JamiiForums Tanzania Maskini man uuu

    Waache wafungweee walijiona wakoo juu sana.
  13. Kariakoo

    JamiiForums Tanzania Daima utanivulia nguo

    Ndio maana nakukojolea kila siku!! ngoma droo
  14. Kariakoo

    JamiiForums Tanzania Kama ulienda shule jibu hili swali!

    swahili:BABA mimi mtoto wako wa ngapi?? English:FATHER me child yours of how many?:tonguez:
  15. Kariakoo

    JamiiForums Tanzania Kanumba na ramsey ni member wa free masssons??

    Wewe OP, unawajua freemasons?? !
Back
Top Bottom