Recent content by karema

  1. K

    Ushauri: Tanzania iige Malaysia kupambana na Dengue fever

    hapa bongo ipo pesa ya kulipa posho za wabunge,hilo fungu la fumigation halipo.
  2. K

    Uchaguzi Kalenga umeisha, CHADEMA tukae chini tutafakari nini kimetokea

    nkiwa kama kamanda ambaye niligombea ubunge 2010,nafkri kuna kazi inabidi chama kifanye,nimefuatlia uchaguzi wa kalenga nimegundua kuwa wananchi wamepandikizwa conception ya amani na utulivu na wameaminishwa kuwa vyama vya upinzani ni kuleta vurugu,nao kukosa uelewa na ujinga walionao...
  3. K

    Jamani kama kawaida ya fununu za ajira za walimu wapya

    na inaisha saa sita usiku,so tarehe 15,haijamalizika
  4. K

    Jamani kama kawaida ya fununu za ajira za walimu wapya

    halafu we msomi kweli hadi unajua na kizungu
  5. K

    Jamani kama kawaida ya fununu za ajira za walimu wapya

    hapa ndo huwa nasema nina doubt juu ya uelewa wa watu wanaosomea ualimu,we umeambiwa ajira tr 15,na inakoma saa sita,saa mnacholalamika nini
  6. K

    Hawa ndio walimu wetu wapya

    true watu wana soma ualimu ili wapate mkopo tu,na kweli walimu wengivhakuna kitu kabisa
  7. K

    NRM UGANDA kama CHADEMA, CCM mmebaki wapi?

    hivi kwa akili yako ndogo tu alonayo ya bila hata kwenda shule,unaona ccm imekufanyia mambo makubwa,hapa ndo naamini ccm na ujinga na umasikini ni kitu kimoja.
  8. K

    Walimu Kagera waomba kupelekwa JKT

    wanafunzi wana haki ya kufundishwa ila we huna haki ya kulipwa vizuri,hapa kazi ipo.
  9. K

    Walimu Kagera waomba kupelekwa JKT

    mkuu kama ualimu ni wito basi kafanye hii kazi bure,acha mambo ya ajabu kazi yenyewe uajiliwe porini na hakuna hata allowance ya mazingira,mshahara wa degree holder ndo mshahara wa nursy tena form four,hapa nitaendelea kuhoja ufahamu wetu tunaokwenda kusomea ualimu.
  10. K

    Documents za kuanzisha au kufungua kampuni

    ni gharama kidogo sana,butvunatakiwa kujua nini unataka kufanya make unaweza kuwa na kampuni then isifanye kabisa kazi,pata ushauri na ikiwezekana shirikiana na wale wennye kampuni tayari,wengi naona wapo tayari kukupatia memorundam we una edit hasa objectives.
  11. K

    Walimu Kagera waomba kupelekwa JKT

    mkuu ni sidharau ualimu bali nadharau sisi tunaosomea ualimu,hivi unajua walimu wakiamua walipwe hata million kwa undergraduate inawezekana? lakini nimeshuhudia migomo mingi inayoitishwa na tucta haifanyi kazi,walimu wanaamkia kazini kisa heti watafukuzwa kazi,kiongozi mi ni mwl,nafikiri...
  12. K

    Walimu Kagera waomba kupelekwa JKT

    ndo maana nikasema mi sielewi watu tunaokwenda kusimea ualimu kama tupo sawa kabisa kimawazo na akili,au ni wale tulokosa kabisa alternative ya maisha,yaani mtu una akili timamu unaona kupigwa mtu mzima ni sawa tu heti kisa utalipwa fidia,hapa kazi ipo make hata huku mbeya nilikuwa nasikia...
  13. K

    Walimu Kagera waomba kupelekwa JKT

    kaka kinachomatter maisha,nawakumbuka walimu wangu wote baadhi wakijiita wakali wa mathe wengine sijui history but up to now nothing,tatizo watu tuna argue bila logic so hiyo jkt wakikupeleka itakusaidia nini? kama viongozi wenyewe hawana uzalendo we unasema uzalendo kidogo nina doubt uelewa...
  14. K

    Walimu Kagera waomba kupelekwa JKT

    kaka post yangu nimeandika katika swali,na wala sijamtukana mwl mi mwenyewe mwl japo nafanya shughuli zangu,kitu nilicho uliza hapa nkama tuna uelewa,hasa baada ya walimu wenzetu kudai kwamba heti walimu ambao hawakupitia jkt hawana maadili na hawajui kazi hivyo walimu wapelekwe jkt,hivi...
Back
Top Bottom