Documents za kuanzisha au kufungua kampuni

Documents za kuanzisha au kufungua kampuni

Wadau,

Naomba mnijulishe makaratsi yatakiwayo kusajili, kuanzisha au kufungua kampuni. Nashukuru kwa msaada wenu, nimechoka kuomba kazi, nataka nitengeneze kazi za kuwaajiri wengine.

ni gharama kidogo sana,butvunatakiwa kujua nini unataka kufanya make unaweza kuwa na kampuni then isifanye kabisa kazi,pata ushauri na ikiwezekana shirikiana na wale wennye kampuni tayari,wengi naona wapo tayari kukupatia memorundam we una edit hasa objectives.
 
Mimi ni pia ni mmoja wapo ambaye nipo katika hatua za mwishoni kuanzisha organization yangu. Nitumie email yako ili nikutumie templates bure bila pesa. Maana haya ni maisha. Ukihitaji ushauri zaidi usisite kuwasiliana nami maana nieshaenda hatua kidogo hivyo ninaweza kukusaidia mawili matatu. 0752 205 261 au makandomende@gmail.com

Moyo wa kuigwa kwa wana JF
 
Ntumie hapa pettyram@live.com
 
Back
Top Bottom