Hii mada mukifikia hitimisho!!!! niko pale. Dini ni ya waumini na dunia ni ya wasioamini. Muumini hana mafanikio duniani, ila ana maendeleo, ila asieamini, anapambana apate mafanikio, hakika hatopata ila maendeleo. Kwan mafanikio hayako duniani. Swali ni je asieamini kuwa kuna maisha baada ya...
Miongoni mwa sababu za Africa kujulikana kama ni 3rd world ni pamoja na kuwa na homogenous political culture,... hali ya kisiasa ya Tanzania haitokaa itofautiane na kenya, uganda, benin wala morocco. Tushayazoea haya tuna force democracy lakin hatu deserve kujiita wana demokrasia. Naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.