Msemo wa KUCHOMOA BETRI unaudhi sana na ni dhihaka kwa marehemu wa ajali ya moto Morogoro

hujaunganisha kichwa na kiwiliwili. wajuvi wa insha tukitarajia maelezo yako (body/kiini) yajibu swali lako lilijichomoza kwenye kichwa cha habari.
 
Jawabu hatakama ni za kushtua itabidi ukubaliane Nazo maana ndio ukweli na hali yalugha ilivyo.

Misemo, methali, vitendawili, maneno, rejesta, Aghalabu huibuka kutokana na mtatukio haijalishi nitukio zuri ama baya.

Kwa wale waliozaliwa zamani kidogo mtakuwa mnajua namna maneno yaliyotumika katika siasa kama, kupe, ngunguri, ngangari nk yalivyoibuka

Lugha hufungamana na matukio na matukio hayo huifadhiwa katika lugha.

nani angependa kusikia neno "MAJI MAJI " likitumika ikiwa wazee wetu waliuawa katika hivi vita? Lakini mbona twatumia. Lugha haiwezi kutenganishwa na matukio.

Faida za kuendelea kutumia huu misemo nikwamba unaweza kuhifadhi historia ya jambo hilo na hata kutukumbushia wanawetu kule tulikotoka.

>>>>>>>>>>>>>
Hivyo nikawaida ya lugha na warumiaji wake na sio dhihaka.

#massheleswahili
Kifupi hujui kuwa hao wahanga walienda pale kuiba mafuta??
Nadhan kesha waombea ila ujue unawaombea wezi wa mafuta.. Nawe ukipata ajari utawaona hao watu wanaojiita wasamalia wema wakikusachi ili kujipatia chochote.
 
Image result for sarcasm gif
 
Wahanga wa roli la mafuta Morogoro inasema walikuwa vibaka
nadhani jina sahihi la kuwaita ni vijana wasiokuwa na ajira. laiti kama viwanda tulivyokuwa tunaimbiwa na wanasiasa vingejengwa kweli hawa unaowaita vibaka leo usingewaita hivyo. tuwaombee kwa Mungu wapumzike kwa amani.
 
Kumezuka msemo mpya wa kuchomoa betri baada ya ajali mbaya ya moto iliyochukua zaidi ya maisha ya Watanzania mia moja.

Wizara ya Mwakyembe ichukue hatua kukataza magazeti hasa ya michezo.

Msemo huo umekua maarufu sana baada ya kusemekena ajali hiyo ilisababishwa na mmoja ya waliokuwa wakichota mafuta kujaribu kitoa betri.

Ilikuwa ni ajali mbaya sana kiasi kwamba mpaka bendera ya taifa ilishushwa nusu mlingoti kwa siku tatu.

Kuna familia zilipoteza wapendwa wao hivyo kila wakiona hayo maneno ya KUCHOMOA BETRI hukumbuka machungu waliyopitia wakati ule.

Tuache kuwakumbusha machungu ndugu zetu waliopoteza rafiki zao, ndugu zao, mama zao,baba zao.
AWAMU HII NI YA KUPANGIANA HADI VYA KUONGEA,nasisitiza Tena.....TUSIPANGIANE...OVA...
 
Kuchomoa Betri=Kufanya jambo litakalosababisha matokeo mabaya....etc
Haha..kiswahili kinakua....tumeongeza msemo mwingine....Kama tu ilivyokua kwa Juma Kilaza na neno Kilaza linavyoendelea kutumika
 
Kumezuka msemo mpya wa kuchomoa betri baada ya ajali mbaya ya moto iliyochukua zaidi ya maisha ya Watanzania mia moja.
Wizara ya Mwakyembe ichukue hatua kukataza magazeti hasa ya michezo.
Msemo huo umekua maarufu sana baada ya kusemekena ajali hiyo ilisababishwa na mmoja ya waliokuwa wakichota mafuta kujaribu kitoa betri.
Ilikuwa ni ajali mbaya sana kiasi kwamba mpaka bendera ya taifa ilishushwa nusu mlingoti kwa siku tatu.
Kuna familia zilipoteza wapendwa wao hivyo kila wakiona hayo maneno ya KUCHOMOA BETRI hukumbuka machungu waliyopitia wakati ule.
Tuache kuwakumbusha machungu ndugu zetu waliopoteza rafiki zao, ndugu zao, mama zao,baba zao.
Kwani aliyechomoa betri aliondoka nayo! Kwa hili tafadhari usichomoe betri.
 
Usalama wa Taifa wajanja sana watatoa hoja facebook ambako user wanatumia majina halisi halafu mada hiyo hiyo wanaileta hapa JF ili walinganishe mada za Facebook na JF ukitoa copy and paste toka Facebook kwenda JF basi
 
Ni msemo tu utaisha kama vile kuzamishwa majini, kuchinjiwa bahaeini, kupotezwa nk. Wala hakuna haja ya kutumia nguvu kubwa na rasikimali za nchi kukomalia mambo ya kipuuzi kama "kuchomoa betri". We acha watu wachomoe betri.
Anaua mende kwa nyundo au kwa kuwa ameshika nyundo kila tatizo anaona no msumali anyway kaamua kuchomoa betri mtoa mada ili mambo yaive.
#unatesekakwani
 
Hii itapita tu. Ilikuwepo vyuma vimekaza,Nasepa,pambana na hali yako,ishia zako,nacheka kwa dharau,mia itapendeza zaidi,kipigo cha mbwa koko n.k.
 
Kumezuka msemo mpya wa kuchomoa betri baada ya ajali mbaya ya moto iliyochukua zaidi ya maisha ya Watanzania mia moja.

Wizara ya Mwakyembe ichukue hatua kukataza magazeti hasa ya michezo.

Msemo huo umekua maarufu sana baada ya kusemekena ajali hiyo ilisababishwa na mmoja ya waliokuwa wakichota mafuta kujaribu kitoa betri.

Ilikuwa ni ajali mbaya sana kiasi kwamba mpaka bendera ya taifa ilishushwa nusu mlingoti kwa siku tatu.

Kuna familia zilipoteza wapendwa wao hivyo kila wakiona hayo maneno ya KUCHOMOA BETRI hukumbuka machungu waliyopitia wakati ule.

Tuache kuwakumbusha machungu ndugu zetu waliopoteza rafiki zao, ndugu zao, mama zao,baba zao.

MUHESHIMIWA!

ACHA KUTESEKA KWA VITU VIDOGO-VIDOGO, HUO MSEMO UTAPITA KAMA ULIVYOPITA ULE WA GUNIA MBILI ZA MKAA.
 
Kumezuka msemo mpya wa kuchomoa betri baada ya ajali mbaya ya moto iliyochukua zaidi ya maisha ya Watanzania mia moja.

Wizara ya Mwakyembe ichukue hatua kukataza magazeti hasa ya michezo.

Msemo huo umekua maarufu sana baada ya kusemekena ajali hiyo ilisababishwa na mmoja ya waliokuwa wakichota mafuta kujaribu kitoa betri.

Ilikuwa ni ajali mbaya sana kiasi kwamba mpaka bendera ya taifa ilishushwa nusu mlingoti kwa siku tatu.

Kuna familia zilipoteza wapendwa wao hivyo kila wakiona hayo maneno ya KUCHOMOA BETRI hukumbuka machungu waliyopitia wakati ule.

Tuache kuwakumbusha machungu ndugu zetu waliopoteza rafiki zao, ndugu zao, mama zao,baba zao.
Nachomoa betri
Maintain_Your_Car_Battery_with_These_6_Steps.jpeg
 
Back
Top Bottom