Maisha yana mambo mengi sana, navyozidi kukua nazidi kuepuka kuwa mtoa hukumu na kujaribu kuwa muelewa zaidi. Hatuwezi kujua mwamba alipitia nini katika maisha mpaka kuchukua hatua ya kurudi nyumbani, kikubwa tumuombee. Kuna facts mbalimbali mfano:
1: what if alikuwa anatuma pesa za kujiandaa...
Umeongea ukweli kabisa, ambao watu wengi wanaujua ila wanajizima akili. Kwa kuongezea kidogo hata haya mambo ya uchawa kusifu yalianza chini ya Utawala wa JPM. Sasa unapopanda mbegu, tegemea mbegu kumea na kukua na haya ndiyo matokeo yake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.