Azimio Jipya,
Asante kwa kunikumbusha umuhimu wa kuacknowledge. Nimekupata vema.
Turudi kwenye mada yetu,
Ni kweli kuna uhusiano mkubwa kati ya HIV-AIDS na kiharusi. HIV/AIDS inaongeza uwezekano wa kupata kiharusi hata kwa wagonjwa ambao hawana zile risk factors nyingine za kupata stroke au...
Mkuu Azimio Jipya,
That's a very scientific question/inquiry.
Katika follow-up study moja iliyofanyika kwa miaka 14-year among 2201 middle-aged male study subjects, ilionekana kwamba psychological distress was an independent risk factor for fatal ischemic stroke. In this study, psychological...
MziziMkavu,
No disrespect mkuu lakini upo nje kabisa ya maana halisi ya Kiharusi. What you are talking here is just one of the many pathologies that can occur in Facial nerve. Mind you, lesions in the facial nerve are not synonymous to stroke, na hata kwenye tafsiri yako unasema kiharusi ni...
Kwahiyo Dr. kama na wewe ikitokea hukufanikiwa kuteuliwana chama chako kuwa mgombea hata baada ya vikao vya CC yenu, utajilipua pia kwa kuhamia chama kingine ili mradi azma yako ya kuwa mbunge itimie?
Mkuu Boflo,
Unapozungumzia mswahili sijui unamaanisha nini. Kwamba ni waswahili kwa rangi yao au waswahili kwa tafsiri ya uswahili ya huku kwetu? Ama? Hebu tuweke sawa hapo kidogo.
Baada ya kuwa mtazamaji kwa kipindi kirefu kidogo, nimeona muda wa kubaki kama mtazamaji umetosha sasa. Nimeamua kujongea jamvini hapa JF ili niweze kushiriki vema mijadala mbalimbali nanyi wenzangu. Natumaini nimekaribishwa tayari jamvini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.