Recent content by Karata

  1. K

    Askofu Gwajima, ulitafakari kwa kina Madhara, Matokeo na Maana halisi ya kauli yako ya kutoa siku 10 kwa Mamlaka kutekeleza madai yako?

    Mama Samia ni mtu wa pekee kweli. Ingekuwa enzi zile zetu, kauli ile ingemfikisha Central, na Jumatatu angepelekwa Kisutu akisomewa kesi ya kudaiwa kodi ya TZS bilioni 10 ambayo hajalipa kwa zaidi ya miaka mitano. Watanzania tunasahau haraka sana. Mama ametuliza nchi; sasa kuna uhuru wa kutoa...
  2. K

    Serikali kupitia TRA pitieni Mapungufu ya Kikokotoo cha Kukadiria Ushuru wa Kuingiza Magari used

    Hii ni kweli kabisa na TRA wanatakiwa wabadilishe jinsi ya kutoza kodi za Magari. Wanatakiwa waongeze Kodi kwenye magari chakavu sio Magari mapya. Kuagiza gari mpya Tanzania ni anasa kubwa. Kodi ya kuagiza gari mpya Tanzania ni kubwa mno. Wakati inatakiwa iwe kinyume chake. Tusipoangalia...
  3. K

    Tabia za mabinti wa kinyiramba wa kizazi hiki cha 2000

    Alafu ni majembe kweli, wanawake wa Shoka!
  4. K

    Tabia za mabinti wa kinyiramba wa kizazi hiki cha 2000

    Ni kweli kabisa kaka. Mimi Niko na mnyiramba wangu Mwaka wa 20 sasa. Vuta ndani kaka usichelewe kaka. 🙏🙏
  5. K

    Lady Jaydee amemuimba X wake baada ya kufulia na kuwa chapombe wa taifa?

    Wewe binafsi umeshapata shida na Wazaramo kaka tangu ufike Dar Es Salaam?
  6. K

    Kuna faida zozote za kumtumia Architect? Ama ni kupoteza pesa tu?

    Architects wengi Bongo ni matapeli na makanjanja tu. Kama kuna mmoja anaitwa sallug ni tapeli. Ukiwa na Engineer mzuri uhitaji hao matapeli.
  7. K

    Jirani anataka kujenga nyumba Yake Kwa kutumia fensi yangu

    Kaka pole Sana, haya yalishanikuta jirani alikuta tayari nimeshamaliza nyumba yangu safi na ukuta safi pande zote nne. Akajenga wa kwake na upande mmoja akatumia wa kwangu bure kabisa, sasa uwanja wangu hupo chini na kwake ni juu, kwa kweli nilijenga kozi za tofari zaidi ya 9 akasema niongeze...
  8. K

    Awamu ya Sita Watu wanajenga, mnyonge mnyongeni Haki yake mpeni

    Yaani waache wapige mikelele mara Dipi Woodi !! Sisi tunaweka mijengo tu.
  9. K

    Rais Mstaafu Jakaya Kikwete agomea eneo la ekari 50, ataka ekari 500

    Mzee Kikwete anaona mbali hata Chuo Kikuu cha MUHAS ilikua Campus ya Chuo Kikuu Cha DSM. Mbele ya safari huko Campus hiyo ya Mbeya inaweza kuja kuwa Chuo Kikuu.
  10. K

    Tusipotoshe, ukweli ni kwamba Samia Suluhu ni Rais wa Kikatiba na si Rais wa kuchaguliwa

    Mzee umesahau kuwa katika uchaguzi wa Rais, tunachagua rais na MGOMBEA MWENZA. Maana yake MGOMBEA MWENZA naye anapigiwa kura za Rais ndo maana Rais akishinda na yeye anakuwa Rais Mtarajiwa moja kwa moja kama kuna lolote litakalotokea kwa Rais. Hivyo basi, Rais Samia ndiye Rais kwa sasa bila...
  11. K

    Hospitali ya Bugando yakumbwa na upungufu wa mitungi ya Oksijeni kwa Wagonjwa wa Kupumua

    Mkuu ukiona mtu anafanya joke na UVIKO-19 ujue haujampitia au haujapitia familia yake. Ebu aende ICU akaone wagonjwa wenye UVIKO-19 wanapumuaje, alafu aje hapa aseme ni mafua tu. Hii kitu isikie tu mkuu kwa mbali. Usiombe ikutokee au itokee wazizi wako alafu uambiwe yuko kwenye ventilator.
  12. K

    Ukitaka kuishi vizuri Dar es Salaam ishi Kigamboni

    Jos Mtambo mzee wa Kigambo
Back
Top Bottom