Recent content by Karata Tatu

  1. K

    Utoto mitandaoni: Mnamu-overate sana Kagame, hawezi na hatoweza

    Huna hoja, unaleta utoto tu hapa, Mr slim ni mtu mjanja sana unatakiwa kuwa makini sana kufanya urafiki nae
  2. K

    Mke wangu ananipiga vijembe sana WhatsApp status

    Hiyo ni dalili kuwa mkeo amekuchoka na ana mahusiano na mwanaume mwingine
  3. K

    Serikali ijitafakari upya - TBA imeshindwa kazi

    Hii habari ya Serikali kufanya biashara na Taasisi za Serikali tulishapitia wakati wa Serikali ya awamu ya kwenza na tuli fails sana kwenye kujenga na kuimarisha uchumi wa nchi, sasa leo tunarudi kule kule. Wenzetu walioendelea kiuchumi wametushauri sana, kuinvolve sekta binafsi katika kujenga...
  4. K

    Ole wako Nkamia na kikundi chako watanzania siyo wajinga wa hivyo

    Nilimsikiliza Mkamia J5 anahojiwa na BBC juu ya hiyo agenda yake ya miaka saba. Kwa kweli hana point kabisa. Hoo ni gharama kuendesha uchaguzi kila baada ya miaka 5. Eti ndiyo tufanye baada ya miaka 7 kukwepa gharama!! Kuishi kokote ni gharama nini kufanya uchaguzi, kama unataka kukwepa gharama...
  5. K

    Hivi ni hujuma kwa Rais Magufuli ama?

    Hee!! Kunena we ufikiri wako ni mfupi sana! Umeme wa maji ni very un reliable kutoka na hali ya Dunia ya sasa na climate change hii, mataifa yaliyoendelea hayategemei huo umeme aisee
  6. K

    Mzee wa upako: Kakobe kumkosoa rais na kumtaka kutubu alikosea

    Anasema waliozoea hela chafu ndiyo wanalia? Hivi yeye hela anazopata ni safi kweli?
  7. K

    Kwa mara ya kwanza bei ya mahindi iko chini kuliko kipindi cha mavuno, ni kilio kwa wakulima na wafanyabiashara

    Nchi za Ulaya wanavyofanya wanatoa Ruzuku kwa wakulima pindi mazao yao yanaposhuka bei ili kuwalinda wazalishaji. Wengi humu ni mambumbu tu wanamponda mtoa mada bila kujua chochote
  8. K

    Kwa mara ya kwanza bei ya mahindi iko chini kuliko kipindi cha mavuno, ni kilio kwa wakulima na wafanyabiashara

    Uchumi unaimarikaje hapo wakati wazalishaji wanauza mahindi yao bei ya chini kuliko gharama za kuzalisha? Serikali inatakiwa ifidie hiyo gape ya hasara wanayopata wazalishaji wa mahindi ili next time wazalishe tena, vinginevyo hao wazalishaji wata shift na kuzalisha kitu kingine. Alafu mkumbwe...
  9. K

    Makanisa mpunguze michango jamani. Hasa RC, kuna nini siku hizi?

    Hivi ni kweli kuwa Mungu ana shida na hela zetu sisi wanadamu ili afanyie nini hizo hela anzotaka kutoka kwetu. Hawa ni watu wenzetu wanazitaka hela zetu ili watumie
  10. K

    Kwanini shilingi ya Tanzania inaporomoka dhidi ya dola

    We pain killer, huo uchumi hauwezi kusaidia Tanzania, hiyo unayosema wewe inasaidia mataifa kama China ambayo yanazalisha zaidi na ku export nje kwa uwingi sana. Nchi inayo import kila kitu kama Tanzania kushuka kwa shilingi zidi ya Dollar ni mbaya kiuchumi
  11. K

    Rais Magufuli huwezi kupinga maamuzi ya Watanzania

    We mtahengerwa. Fikiria kuhusu maisha yako, mambo mengine unayowaza yapo juu sana ya ufikiri wako. Acha pumba zako hapa
  12. K

    Tanzania imepata viongozi wanaokidhi kiu ya Watanzania

    Wewe zee la kitaa unafanya wapi kazi ya halali kwa juhudi? Na ulipia wapi kodi zako . Watu mnaongea ongea tu kama mnaharisha vile
  13. K

    Wanawake na tamaa zao

    Walivyo mabwege watatoa sana mapovu wakati we umewapa ushauri mzuri. Lakini kwa vile wenyewe ni mabwege na wana tamaa wacha tuendelele kuwatumia sie wenye ndoa zetu na ambao hatuna future nao
Back
Top Bottom