Ole wako Nkamia na kikundi chako watanzania siyo wajinga wa hivyo

Hiyo ndiyo Democracy,itapelekwa hoja binafsi bungeni ikiungwa mkono mchakato unaendelea.

BAVICHA haina nguvu yoyote kwenye huo mchakato wote na wala hawawezi mzuia mtu kuwasilisha hoja binafsi bungeni

Kama walishindwa kumzuia Mbowe kuondoa ukomo tena kinyemela vile wataweza kuzuia mchakato WA kikatiba?
 
haya mambo huwa yanakuwa neutralized na system baada ya kupata baraka ya mkuu wa majeshi japo huwa kimya kimya hata ikibidi intimidation kidogo kwa wale vimbelembele wa kutaka kuongezeka kwa muda wa ukomo wa madaraka

utasikia tu hoja imetupwa kapuni

kwahiyo siamini kama jenerali na yule mkurugenzi wa wavaa miwani ya jua kama watakubaliana na huo upuuzi wa nkamia
Yaani waibishie mamlaka ya uteuzi?
 
Hiyo ndiyo Democracy,itapelekwa hoja binafsi bungeni ikiungwa mkono mchakato unaendelea.

BAVICHA haina nguvu yoyote kwenye huo mchakato wote na wala hawawezi mzuia mtu kuwasilisha hoja binafsi bungeni
AISEE KUMBE MAKEMIA WAPO WA KUTOSHA.
 
Mkamia ni chambo na katangulizwa mbele kama mbuzi wa hitima! Laiti kama angalipata ufahamu kidogo akajitambua angaliachana na huu mpango wa polepole!
Hebu nihoji pia kwa wenye mpango wao kina nkamia juu ya muda wa uenyekiti wa ccm nao mtauongeza au itakuwaje?
Kweli kutafuta kuna njia zaidi ya saba na sitoshangaa nikimsikia nkamia kateuliwa unaibu waziri na shonza kapigwa kibuti kwa kukosa mvuto!
 
Yaani waibishie mamlaka ya uteuzi?
hawaibishii wanajua watakavyo fanya wao na interejensia zao unajua mkuu wa jeshi akiweka ngumu na akiwa na supporters nyuma yake raisi anabaki kama mbunge tu?
 
Anaandika Mwenyekiti Wa Taifa Bavicha Patrick Ole Sosopi

#CCM_OLEWENU_NA_NKAMIA_WENU

Kama CCM Wanafikiri sisi Watanzania ni Wajinga, Wajaribu katika hili watajua Nguvu ya [HASHTAG]#BAVICHA[/HASHTAG].

Tumeshajua tatizo lipo kwa Wapambe sio Mtukufu sasa BAVICHA Tutashughulika na Hiki Kikundi cha Wahalifu Kinachoongozwa na Nkamia.

Hiki Kigenge tutakisambaratisha na Agenda yao ya Miaka 7. Nawapa onyo, we are very serious on this hatutakubali ujinga wa namna hii.

#To_Be_Is_To_Do

Nkamia ana tatizo la jinsia huyu! Ni tabia gani hii mwanaume unatamani mwanaume???!
 
Nilimsikiliza Mkamia J5 anahojiwa na BBC juu ya hiyo agenda yake ya miaka saba. Kwa kweli hana point kabisa. Hoo ni gharama kuendesha uchaguzi kila baada ya miaka 5. Eti ndiyo tufanye baada ya miaka 7 kukwepa gharama!! Kuishi kokote ni gharama nini kufanya uchaguzi, kama unataka kukwepa gharama za maisha jaribu kufa
 
haya mambo huwa yanakuwa neutralized na system baada ya kupata baraka ya mkuu wa majeshi japo huwa kimya kimya hata ikibidi intimidation kidogo kwa wale vimbelembele wa kutaka kuongezeka kwa muda wa ukomo wa madaraka

utasikia tu hoja imetupwa kapuni

kwahiyo siamini kama jenerali na yule mkurugenzi wa wavaa miwani ya jua kama watakubaliana na huo upuuzi wa nkamia
Kwa akili zenu ndogo mnadhani ni nkamia ndiye anaye push huo upuuzi...
Angalieni bigger picture nyie
Huu ni mpango na pogba ameubariki
 
Back
Top Bottom