Recent content by Karash

  1. Karash

    JamiiForums Tanzania Je waijua Rombo kwa picha? This is Rombo bwana

    Mji msafi sana, Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
  2. Karash

    JamiiForums Tanzania John Magufuli: Tanzania’s rising star

    The Magufuli magic In the 1970s, responding to taunts from socialist Tanzanians that neighbouring, capitalist Kenya was a ‘dog eat dog’ society, the Kenyans came back with ‘Tanzania is a man eat nothing society!’ They were not far wrong. Tanzania’s nationalised industries and collectivised...
  3. Karash

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Nashauri Waziri Mkuu ahitaji maelezo ya kina kutoka Minjingu kuhusu soko lao la Kenya

    Jana Waziri Mkuu alionyesha hasira kubwa kuhusu vifungashio vya kampuni ya Minjingu kuonyesha kuwa mbolea ile imetengenezwa Nairobi Mtaa wa Mombasa. Moja, kifungashio kuwa na jina la mnunuzi ni jambo la kawaida katika biashara hususan mnunuzi anapotaka kudhibiti wizi. Utaona vifungashio vile ni...
  4. Karash

    JamiiForums Tanzania Kusoma tena basi..

    Jitume, huwezi kutimiza malengo yako kwa kulamika.
  5. Karash

    JamiiForums Tanzania Kusoma tena basi..

    unasusia maisha yako au mkopo.
  6. Karash

    JamiiForums Tanzania Star Tv Kwa nini wasifunge tu TV yao kwa haya madudu wanayoyafanya

    Star Tv imeisha uzwa kwa mfanyabiashara kutoka kenya.(Sahara Media)
  7. Karash

    JamiiForums Tanzania Madiwani wa Jiji la Arusha wajilipa posho ya zaidi ya Shilingi 350,000 kwa Mwezi

    Wanauchukia sana umasikini.
  8. Karash

    JamiiForums Tanzania Hongera Tanzania Kwa Bunge Lenu Kuingia Katika Rekodi ya Mabunge Dhaifu Duniani

    Tanzania haiendeshwi na Mashirika ya Transparency ina serikali na katiba yake.
  9. Karash

    JamiiForums Tanzania Kambi ya Upinzani yasusia Bunge, watoka nje ya ukumbi

    waende mahakamani,tumewachoka.
  10. Karash

    JamiiForums Tanzania Kambi ya Upinzani yasusia Bunge, watoka nje ya ukumbi

    hivi wakisusa nani anawambia warudi?
  11. Karash

    JamiiForums Tanzania Naliona Bunge kibogoyo katika awamu ya tano

    Mkuu tarifa si tunazipata, tatizo mlizoea kuona vijembe na matusi kutoka kwa wabunge hao wanaoitwa watoto.tulia nchi inafuliwa karibu inatakata mkuu.
  12. Karash

    JamiiForums Tanzania Naliona Bunge kibogoyo katika awamu ya tano

    unachokikosa nini kutoka bungeni ambacho unnadhani ni special kwako? wabunge wako kazini wewe hauna kazi ya kufanya unasubiri kuona bunge mkuu?
  13. Karash

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Seif Shariff Hamad aomba kuachia ukatibu mkuu CUF

    sawasawa x2
  14. Karash

    JamiiForums Tanzania John Mnyika amchokonoa Rais Magufuli kuhusu Mchakato wa Katiba Mpya

    Mnyika amekosa ukatibu mkuu katiba ndo ataweza kudai.akumbuke aliponea chupuchupu ubunge. muhula ujao atakatwa.
Back
Top Bottom