Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Ndugu zangu Bunge la Tanzania Limeingia kati ya Mabunge dhaifu Duniani kwa mjibu wa Shirika ambalo sio la kiserikali la International Transparency and accountability agency (ITAA) Imebainisha hilo katika tovuti yake.
Kwa mjibu ya Msemaji wa shirika hilo bw John Burke amebainisha kuwa wabunge wa Bunge la Tanzania walio wengi wameshindwa kuisimamia serikali matokeo yake wamekuwa wakijipendekeza na kuwa wapiga debe wa serikali.
Kutokana na Ripoti hiyo imeonyesha kushangazwa na Kitendo cha serikali kuamua Bunge liwe live au lisiwe live serikali iko juu ya Bunge wabunge wanafanya kazi kwa maelekezo ya Serikali hii ni hatari kwa nchi inayoendelea.
SABABU YA BUNGE KUWA DHAIFU
1)- Uoga wa wabunge wa ccm ambao sasa hivi nao wanafanya kazi kwa matakwa ya ikulu hii ni hatari sana
2)- Elimu ndogo ya wabunge wa ccm ambao hawajui majukumu ya kibunge badala yake wanadhani bungeni ni sehemu pa kuropoka mfano Lusinde Mbunge wa Mtera anacheti cha la pili D na Joseph Msukuma chekechea.
3)- Kuwa na wabunge Wanafiki kama Kangi Lugola na Halima Bulembo na wengine wengi ambao wanajipendekeza ikulu ili waendelee kuwa wabunge.
4)-Kuwa na Wabunge ambao kazi yao ni kuchapa usingizi Bungeni kama Nape ndio maana anataka bunge lisiwe Live wanakesha Kwenye starehe Bungeni wanapafanya sehemu pa kupumzikia.
Vile vile hizi ndio sababu za kufanya ni kwanini bunge lisiwe live wananchi tuvhukueni hatua tusikae tu kulalamika kwenye Magroup ya Whatsapp tujitokeze kupinga suala hili kwa vitendo.
MAANDAMANO MAANDAMANO MAANDAMANO.
Mhere Mwita.