Recent content by karanga makoga

  1. karanga makoga

    JamiiForums Tanzania Zitto: Niliondoka CHADEMA kwa sababu ya kunyanyaswa na kuonewa

    Zitto so chochote wala si lolote msaliti YUDA namshangaa sana zitto anajifanya anaongea sana mbona tunduma hakujAribu hata kuongea hats kushuka kwenye gari alibaki kwenye gari kwa ulinzi mkali was jeshi la police akaona sio mchongo akasepa
  2. karanga makoga

    JamiiForums Tanzania Zitto akataa posho ya mil. 238

    Ukimfata zitto utapotea
  3. karanga makoga

    JamiiForums Tanzania ACT - Wazalendo wafanya mkutano mkubwa Sumbawanga leo jioni

    Hana lolote zitto kabwe
  4. karanga makoga

    JamiiForums Tanzania GE2015 Lowassa: Tusipopata mabadiliko CCM Wananchi watatafuta nje ya CCM

    Na lowasa atapigwa kwenye NEC atapigwa mapema atatimukia act tz na sisi kama ukawa wavulugane wenyewe sisi ikulu yetu hawatushindi mafisadi wezi?!!!!!! Ccm kazi mnayo!!!!!?
  5. karanga makoga

    JamiiForums Tanzania UKAWA, mbona mpo kimya wabunge wetu kupewa mafao makubwa kiasi hicho mil 230 kila mmoja?

    Ccm ndo wa kwanza kudai ongezeko la mshahala
  6. karanga makoga

    JamiiForums Tanzania Angalia kwa Umakini Majina Haya, Kisha Tafuta Rais Mtarajiwa kwa Tiketi ya CCM

    Sijamwona hata mmoja naona vivuli tu watiania sijawaona kati ya hao hamna kitu kabisa hapo.
  7. karanga makoga

    JamiiForums Tanzania Picha: ACT-Wazalendo Kasulu Mjini leo

    Unatishika na umati huo pole tutaona mnamo tar.25
  8. karanga makoga

    JamiiForums Tanzania Zitto aitesa CHADEMA Kagera, Mwenyekiti wa Wilaya ya Biharamulo arudisha kadi

    Zitto hatutishi hata kidogo.nisawa kula ng'ombe mzima unabakiza mkia unasema nimeshindwa kumariza.
  9. karanga makoga

    JamiiForums Tanzania Zitto: Ulidanganya Geita wanakuhitaji, leo umekiona cha moto

    Mwisho wa siasa zake umefika tulimwamini sana uaminifu wetu watanzania akaona wa kijinga sahiz amekula wachura huyoooooooooo?
  10. karanga makoga

    JamiiForums Tanzania William Mganga Ngeleja anafaa urais 2015

    Apo Hanna kitu
  11. karanga makoga

    JamiiForums Tanzania Dr. Wilibrod P. Slaa: Special Thread

    Namkubari sanaaaaàaaàaaa slaa.
  12. karanga makoga

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa kishirikina unavyotesa wengi

    Acha IMANI potofu
  13. karanga makoga

    JamiiForums Tanzania Ona haya maajabu ya BVR sasa

    Utapiga kura ya rais tu.
  14. karanga makoga

    JamiiForums Tanzania ITV mmekuaje siku hizi?

    Siasa ndio mpango mzima.kwa kipindi kam hiki
  15. karanga makoga

    JamiiForums Tanzania Nape asema uchaguzi wa mwaka huu CCM itatimua wezi wote(VIDEO)

    Ni plopoganda tu.
Back
Top Bottom