Recent content by kapypo de vitas

  1. kapypo de vitas

    Kuna aliyewahi kuingiza gari kutoka Japan?

    Laptop aina ya hp pavilion 2000.inauzwa 500bg hard disk, 4gb ram, 3hrs chaji..contct 0655 630027, 0787131929
  2. kapypo de vitas

    Rangi za bendera ni ujumbe, uzalendo au urembo?

    Hata hao wapandishaji na washusahaji hawajui kwann wanafanya hivyo
  3. kapypo de vitas

    Ndani ya SCOAN 29 Dec

    Tusisahau asiyefanya kaz na asile....
  4. kapypo de vitas

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Voda wachafu sana,japo mitandao karibia yote inashida lakin la voda ni tatizo kubwa,mi hadi newakimbia kwan hata ukowapigia customer care wanakuzungusha...mamlaka husika ichukue hatua wasisubiri hadi iwe ugomvi kwan kuna watu hawawezi vumilia uchafu.
  5. kapypo de vitas

    Picha: ALABAMA, ZANZIBAR - SHAMSI VUAI akiwahutubia Wananchi Wake...

    Isee lamsingi hapo hao wote waende kuleeee nao wakakae wajifunze
  6. kapypo de vitas

    Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?

    Tushazoea vya bure hatupendi jituma,hatupendi jaribu na hata tukijaribu 99.9% watakukatisha tamaa,hata serikal yetu haiko tayar kuwasaidia vijana...wanajal matumbo yao,ni heri uongoz wapewe wanaojua sias na uchumi pia wawe matajiri
  7. kapypo de vitas

    Wachina wanaswa na Kiganja cha Binadamu huko Mabibo jijini Dar es salaam

    Sizana hata kama kuna haja wa kuwafunga hao wananch wenye hasira wapewe hao mbwa halafu rais afanye utaratibu wa kuwafukuza hao takataka haraka sana.ka barabara tutajenga wenjewe wez hao
  8. kapypo de vitas

    Zitto Kabwe kukutana na Waandishi wa Habari tarehe 24 Novemba 2013

    Kwa mtu mwenye uchu na nchi yake uwez kubal kashfa,kama kaweza salit chama na mkoa wake bila aibu unahisi atashindwa kuuza nchi na watu wake,chama tawala kimemlewesha mtu mzima na akil zake.
  9. kapypo de vitas

    Waraka uliowaondoa Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo CHADEMA huu hapa

    Kwa walio zaliwa mwaka 90 wenyewe kwa akili ya kawaida wanaona huu ni mchezo mchafu,chukulia mfano mtu wako wa karibu akusaliti utafanyaje,?huu mchezo wa wanasiasa wanatuona wananchi ka watoto vile.mara flani mara flan leo zitto,na hii yote si kwa ajil ya uongozi bora na kwaajil ya bora...
  10. kapypo de vitas

    Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?

    Uchu wa kujilimbikizia mali wa viongoz wetu na kukosa akili ya maendeleo ndo kitu kinacho turudisha nyuma,angalia jinsi mataifa mengine wanavyotamani nchi ka tanzania,lakin viongoz wa nchi hii wamejaa tamaa na dhiki la pesa kiasi cha kudirik kuziuza maliasiri za nchi.umaskin tunautaka wenyewe...
  11. kapypo de vitas

    PICHA: Yaliyojiri Bungeni - Sugu akiburuzwa ili atoke nje ya bunge!

    people hilo ni soko au bunge? ka vip ligeuzwe rogder na hao matakata wapotee kwan niaibu kubwa kwa nchi achen upumbavu
Back
Top Bottom