Recent content by Kapyoka

  1. K

    Mbeya University of Science and Technology waongeza kozi nne(4)mpya

    Wadau, chuo kikuu cha sayansi na teknolojia Mbeya kimeanzisha kozi mpya katika ngazi ya DIPLOMA katika mwaka wa masomo wa 2014/2015. Kozi hizo ni :- 1.Food science and Technology 2. Mechatronics Engineering 3. Mining Engineering...
  2. K

    Pitia hapa tafadhali

    Yah, UDSM miaka minne na DIT mitatu.Karibu kwenye uhandisi
  3. K

    Ninasoma kidato cha sita CBG ninaweza kusoma udaktari?

    Nashukuru sana mkuu.Nitazingatia ushauri wako nyakati zote
  4. K

    Ninasoma kidato cha sita CBG ninaweza kusoma udaktari?

    Ninawashukuru sana kwa mawazo yenu ambayo yamenifumbua macho.Hakika kupitia mawazo yenu yakichangiwa na uzoefu wenu ninakiri nimejifunza na sasa nasonga mbele ili ndoto yangu itimie.
  5. K

    Ninasoma kidato cha sita CBG ninaweza kusoma udaktari?

    Waungwana, mimi ni mwanafunzi wa kidato cha SITA combination ya CBG shauku yangu ni kuwa Daktari. Nimesikia kuwa kwa sisi wa CBG hatuna sifa ya kusomea udaktari kwa kuwa hatusomi PHYSICS. O-level nilisoma Physics na kupata C. Je, matokeo yangu ya form six yakiwa mazuri ninaweza kuapply kozi...
  6. K

    Je Hili ni sahihi au mie ndio sielewi

    Pole sana.Hizo ndio haki sawa.Sisi wenzenu tumeisha amka na hatutapeliwi kirahisi sasa kazi kwenu kina dada kujitambua.Ungekuwa mwanafunzi wangu darasani ningekutembezea bakora kwa uzembe uliopindukia.Unampa mtu gari halafu hujui kwake!
  7. K

    Necta wako sahihi csee 2012

    Hoja zote ulizotoa ni za kweli kabisa lakini zimemezwa na grade ambazo serikali imetangazia umma kuwa zilitumika wakati wadau hawakuandaliwa.Binafsi sio mwalimu lkn baada ya walimu kutoka kusahihisha walirudi na taarifa kuwa vijana wengi hawajafanya vizuri.Alama za kufaulu kwenye karatasi za...
  8. K

    Tume ya waziri mkuu na matokeo yenye utata

    Tume inasema ina mapendekezo 130.Kinachowasukuma kuanza kuweka hadharani mapendekezo nusu nusu tena kwa njia ya kukutana na waandishi wa habari ni nini?Wamesema hiyo kazi ya kuchunguza matokeo ya kidato cha nne 2012 itakamilika mwezi juni wanatakiwa watoe taarifa kamili badala ya kuleta usanii.
  9. K

    Mitihani ya form kuhahilishwa kusahihishwa upya

    Mtoa mada nakushauri siku nyingine ukipata tetesi na una taka upate uhakika ukiingia humu post kama swali ili ueleweshwe na sio kutoa statement km vile ni kweli imetokea.Huu ni uwanja wa kupata elimu toka kwa wadau mbalimbali.
  10. K

    News Alert: UTAPELI UNAENDELEA KWA NJIA ZA SIMU

    Asante mkuu kwa kutufungua macho na masikio.Hii post hapa ni sehemu sahihi maana inaingia popote kwasababu ni elimu tosha hasa ikizingatiwa kuwa utapeli upo ktk nyanja na sekta mbalimbali.Kuna utapeli ktk mapenzi,siasa,biashara,michezo,elimu nk
  11. K

    ni fanye nin kuhusu mke wangu?

    Kweli una moyo.Umeona kwa macho yako wakifanya mapenzi, umeletewa mimba na sasa unasubiri ushauriwe nini cha kufanya! Mi nakupa pole kwa kutokuwa na uwezo wa kuchukua maamuzi ya KIUME
  12. K

    Kwa walio ndani ya mjengoni (NDOA) tujuzeni nasisi

    Swali lako ni zuri nami kama mmoja kati ya tulio ndani ya ndoa nina mchango wangu ktk hii post.Utulivu kabla ya kuoa na baada ya kuoa ni muhimu sana.Unaweza ukawa na mpenzi ambaye hauna mpango wa kuishi nae zaidi ya kukata kiu lkn anajua mapenzi mno baadae ukaoa mwingine mwadilifu ila ujuzi wake...
  13. K

    Mchumba amelazwa baada ya kutambulishwa anifanya nisioe tena

    Ishu ingekuwa nzito kama dada yako angekuwa na ugomvi na mtarajiwa wako kwa jambo ambalo lina maslahi kwako.Kama unampenda jitahidi kusimamia unachoamini ni sawa.Bila msimamo hata maisha ya ndoa yatakushinda
Back
Top Bottom