Ni kweli mku, Kuna wengine Wana Elimu kubwa lakini hazina msaada wowote kwa jamii. Inataka uwe na Moyo wa kutoa. Watu kama Mshana Jr Mungu huwapa zaidi kwa njia anazozijua yeye mwenyewe kwakua wana Moyo wa kutoa kwa wengine kile walichojaaliwa. Unaweza usimpe mtu pesa lakini ukampa elimu/...
Kuna Mzee mmoja Mimi namwita Anko alikuja nyumbani, akaniwekea mkono kichwani, nimepata nafuu. Lakini baada ya yeye kuondoka tu Kuna mtu wake wa karibu kanitonya kua yule Mzee siyo mtu mzuri. Alishaga muwekea ndugu yake mkono kichwani akapata nafuu kwa muda usiku ulipoingia akazidiwa akapata...
Mkuu Mshana Jr Je, chumvi ina uwezo wa kuirudisha au kuiokoa Nafsi na Nyota ya mtu (ambae bado yupo hai) ambayo imeshaibiwa kishirikina? (yaani bado hajafa ila wamemtegeshea mitego kichawi ili afe wamchukue msukule)
Chumvi kumbe inawezekana na kuilalia? Na Je, nikiinywa kwa maji ya moto itanisaidia kuondoa tatizo la kusisimkwa mwili na kitu kilichokaa kwenye kifua? (Kama kisoda flani hv, japo kwa muda hua kinapotea)
Mshana Jr
Habari Mkuu Mshana Jr . Kwanza natanguliza shukrani [emoji120], Mimi ni mtu ninayesumbuliwa sana na kusisimkwa sana ubavu wangu wa upande wa kushoto hadi kichwani, midomo kucheza, nimeshahangaika sana kwenye swala la tiba bila mafanikio. Mganga anatibu baada ya wiki au siku 4 tatizo linarudi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.