Ninatafuta wimbo wa YAKI, ni mshaji wa Iringa. Wimbo unaitwa Mshkaji Wangu.
Chorus yake inaimbwa
"Yes,, ungenikubalia yote yasingetokea,
Yes, bora ningekaa kimya kilichokuja tokea"
Kuna verse anachana,
"Unakumbuka shule, ulianza kama masihara,
Day moja nilikuotea class na pack ya sigara...