Recent content by kapvs

  1. K

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Ugandan Government starts process to withdraw from ICC

    Is it successful
  2. K

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Hi ndiyo love story usiyoifahamu katika siasa za Uganda kuisaka Ikulu

    Mhuuu
  3. K

    JamiiForums Tanzania Imenikuta katika kutafuta kazi

    du pole sana, hongera kwa ujasir wa mawazo!
  4. K

    JamiiForums Tanzania Pata line ya uwakala wa mpesa

    Duu bwana hata hupunguz?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Hodi wapendwa

    Nakuja huku nimejaa habari kemukemu za kushare nanyi, naombeni ushirikiano wenu. Thanx, kwa pamoja mia mia
  6. K

    JamiiForums Tanzania Matokeo kidato cha sita 2013

    Viwango vya ufaulu vitakavyo tumika ni vile vya mwakajana, na ni hvyo hvyo ambavyo serikali imekosoa na kusababisha matokeo ya form 4 kubatilishwa.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ripoti hii ilifichwa: Chanzo cha kuporomoka Elimu Tanzania!

    Haya wanajamii forum kila mtu achuje mawazo yake na comments zake. Ukweli ni kwamba kubatilisha matokeo ya form four ni interest za siasa. Matumizi ya viwango vipya vya ufaulu yalijadiliwa na kuafikiwa na wajumbe kadhaa serikali ikiwamo ikihusisha wazir wa elimu na naibu wake, wadau wa elimu...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Uchakachuzi wa elimu ni chanzo cha ukaribishaji wa majambazi

    ni jambo la kusikitisha na kuhuzunisha kuona elimu yetu ambayo ilijengewa misingi bora na imara sasa inaangamia. Ikumbukwe kuwa mwalimu julius kambarage aliifanya elimu ya tanzania kuonekana nzuri na yakuigwa na mataifa mengne ya jumuia ya afrika mashariki mfano, uganda, kenya nk. Lakini leo...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Umma toka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi

    Hizo zote ni namna 2, ili serikal isafishike. walipotangaza matokeo kwa nini hawakulichunguza hilo! waache kutudanganya watanzania, ninauhakika kabisa kama matokeo yatakuwa standerdized, matokeo ya kidato cha sita 2015 ziro zitakuwa kwa 75%, lasivyo wasithubutu uchakachuz huo, tafathar muwakataze!!
  10. K

    JamiiForums Tanzania Taasisi mbalimbali kupinga kufutwa kwa matokeo kidato cha nne -2012

    Kufuta matokeo ci logic, la msing tuutathimin mfumo wetu wa elimu na kuweza kuunda katika viwango vinavyofaa!
  11. K

    JamiiForums Tanzania Picha za Lwakatare akiwa mahakanini leo ambapo kafutiwa mashitaka ya ugaidi

    jaman swala la udin, ni changamoto kwa sasa, yafaa kulipinga kwa nguv zote!
Back
Top Bottom