Recent content by Kapumpuli

  1. Kapumpuli

    JamiiForums Tanzania Kuku wakuchoma wakienyeji Dar wapi wanauza?

    Gongo la Mboto, kituo Cha mwisho wa Lami pale Huwa wanachoma sana kuku.... Ukitaka mbuzi choma na nyama ya ng'ombe utapata pia... Zaidi zaidi mbuzi na ng'ombe waweza pia kupata hapo Pugu Mnadani.....😀
  2. Kapumpuli

    JamiiForums Tanzania Motivesheni spika punguzeni Ujuaji! Kuna siku mtachapika na hamtaamini

    Na kula Huwa tunakula mara Moja tu haturudii ee?
  3. Kapumpuli

    JamiiForums Tanzania Motivesheni spika punguzeni Ujuaji! Kuna siku mtachapika na hamtaamini

    Hivi kama tunatafuta pesa ambayo siyo ya kula Sasa pesa Ina kazi gani basi?
  4. Kapumpuli

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Polisi Washusha Bendera za CHADEMA

    Hapa ndiyo Huwa nihoji ueledi wa polisi.... Kwani hapa kulikuwa na jinai gani mpaka wafanye hivi Hawa police?...
  5. Kapumpuli

    JamiiForums Tanzania Mpira umeisha kwa Amani wanaodai Haki haikutendeka wanataka kuvuruga michuano ya AFCON.

    Leo ndo nimeelewa haki ni muhimu.... Unaona kabisa haki Yako inapindishwa waziwazi na watoa maamuzi....
  6. Kapumpuli

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi ICC inavyofanya kazi, wahusika wa mauaji ya Oktoba 29, 2025 hawatafikishwa kwenye hiyo mahakama

    Tuendelee kusubiria.... Tuone mwisho wake....
  7. Kapumpuli

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kifo cha ghafla cha Bernard Membe, maelezo ya Humphrey Polepole yameacha maswali

    Saaana.... Alikuwa anajisikia fahari kwelikweli
  8. Kapumpuli

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kifo cha ghafla cha Bernard Membe, maelezo ya Humphrey Polepole yameacha maswali

    Vifo vyao huacha maswali sana mara nyingi... Huzusha sintofahamu...
  9. Kapumpuli

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kifo cha ghafla cha Bernard Membe, maelezo ya Humphrey Polepole yameacha maswali

    Hakika Mkurugenzi... Uko sahihi kabisa
  10. Kapumpuli

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kifo cha ghafla cha Bernard Membe, maelezo ya Humphrey Polepole yameacha maswali

    BM alikuwa kachero mbobezi..... Tulikuwa tunaambiwa hivyo
  11. Kapumpuli

    JamiiForums Tanzania GE2025 Stephen Wasira: Rais Samia aliposhika madaraka marafiki zake Hayati Magufuli walikuwa na hofu

    Jameni kwani lazima Magufuli atajwe???
  12. Kapumpuli

    JamiiForums Tanzania Dear future husband ukiniabisha siku ya ndoa yetu kama hivi, sitaweza kukuvumilia

    Hakika....😂😂😂... Na mpaka Sasa tuko tunaishi wote... Na kanizalia watoto watatu... Kila nikikumbuka siku Ile Huwa nacheka mwenyewe....😂😂
  13. Kapumpuli

    JamiiForums Tanzania Dear future husband ukiniabisha siku ya ndoa yetu kama hivi, sitaweza kukuvumilia

    Hahaha.... Ndiyo!... Kwa kweli nilikuwa nimejawa sana na furaha... Nilifurahi kumuoa yule mwanamke....😂
  14. Kapumpuli

    JamiiForums Tanzania Dear future husband ukiniabisha siku ya ndoa yetu kama hivi, sitaweza kukuvumilia

    Vibaya mnoo😂😂... Mpaka wife tulipoketi akawa ananinong'oneza kwamba vipi au umeonja kidogo?😂😂.... Me nikamwambia Sasa muda wote tuko pamoja tangu kanisani,.. Sasa nimeonja saa ngapi?...😂😂
Back
Top Bottom