Recent content by Kapuku83

  1. K

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mzee Emanuel Makaidi, Mwenyekiti mwenza wa UKAWA afariki dunia

    RIP Makaidi
  2. K

    JamiiForums Tanzania PICHA: Mapokezi Ya Mama Regina Lowassa SONGEA

    Hazifunguki mkuu,anzisha thread kama hii mwanahalisiforun
  3. K

    JamiiForums Tanzania GE2015 Hakuna kifungu cha sheria kinachomruhusu mpiga kura kukaa nje ya mita 200 toka kituoni akilinda kura

    1. ELIMU 2. ELIMU 3.ELIMU Ndugu yangu nxhi haingozwi na matakwa ya rais bali na katiba ambayo ndio sheria Mama
  4. K

    JamiiForums Tanzania GE2015 Kinana aanza ziara ktk Majimbo 64. Magufuli aunda kikosi kazi... Mkapa, Kikwete nao wajipanga!

    Jopo la nini wakati tunaelekea kwy uchaguzi nchi ikiwa gizani?hayo maendeleo ya viwanda na uchumi wa mtu mmoja mmoja yatakujaje?kwa elimu yangu ya ngumbale niliyoipata siwezi kunpa kura yangu mgombea yeyote toka CCM!ngoja wengine nao wapewe nafasi,miaka nenda miaka rudi matatizo yale...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa: TANESCO jiandaeni kuwajibika

    Akamatwe apelekwe mahakamani,vinginevyo ni porojo na mawazo yaliyojaa kwa watu ambao wana stupidity
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mafuriko ya Mgombea Ubunge Jimbo la Arumeru Mashariki Kupitia CCM

    Mkuu embu hacha kutuvunja mbavu
  7. K

    JamiiForums Tanzania Prof Jay Mbunge Mikumi Akipata Chai Mama Ntilie Halafu Ndiyo Kampeni

    sidhani kama ubajitambua ndugu,na wala sidhani kama unamjua Jonas!
  8. K

    JamiiForums Tanzania Jiji DSM umeme umeshakatika tayari mapema hii!

    Kipindi kama hiki,umeme ni shida je uchaguzi ukishapita itakuaje?there is no way ukamconvince mtu mwenye uelewa kamili kupigia kura ccm!maeneo mengi ya Morogoro hakuna umeme toka jana mpaka sasa
  9. K

    JamiiForums Tanzania Polisi wamkamata kijana aliyekuwa anakusanya maoni Kariakoo

    Ngoja tuone mahakama itaamua nini!Kibatara Peter where u are a learned advocate
  10. K

    JamiiForums Tanzania Maandamano tarehe 7 Sept, 2015 kuelekea ofisi kuu za CHADEMA

    Na mkumbuke ICC is watching closely
  11. K

    JamiiForums Tanzania Maandamano tarehe 7 Sept, 2015 kuelekea ofisi kuu za CHADEMA

    Wachukueni watoto zenu na family zenu ndio mkaanamane nao,sio mnawalaghai kwa kuwapa vijisenti vijana kutoka family maskini na wasio na uelewa mwisho wa siku wanapata vipigo kutoka kwa wananchi huku nyie familia zenu na nyie wenyewe mkiwa salama
  12. K

    JamiiForums Tanzania Vigogo wanaotuhumiwa kumiliki Tangold wahojiwa TAKUKURU

    Ni kweli kabisa,hana jipya,ila tumbili huyu huyu ndie aliyeleta ukweli mpaka kusababisha baadhi ya mawaziri kuanguka!endelea kujitia ujinga na ubaki na ujinga wako,Kafulila sio mtu wa kupuuzwa juu ya kauli zake,labda uwe usie na tafakuri
  13. K

    JamiiForums Tanzania David Kafulila live ndani ya HotMix - EATV, Amtaja Kikwete sakata la Richmond

    Labda unamsubiri wewe na family yako,hata majukumu ya mbunge hauyajuhi!go back to school!
  14. K

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Lawrence Masha apata dhamana

    . A very wise words toka kwa Mzee aliyekua na hekima na uelewa wa hali ya juu,wazee wa namna hii wamebaki wachache sana kwa sasa,Mwandosya Mark ni mmoja wao!
  15. K

    JamiiForums Tanzania Jamani CCM wameanza tena propoganda zao chafu za sms, hebu angalia hii

    Hivi Nape yupo jamani?simsikii kabisa siku hizi
Back
Top Bottom