Recent content by Kapotea

  1. Kapotea

    JamiiForums Tanzania Maelezo muhimu kuhusu majini!

    Habari mkuu Rakims , mi ni Moja ya watu wachache waliofaidika na elimu zako unazozitoa alhamudillah mungu akulipe nilikuwa nauliza 1. Kwa Nini majini yakitaka kupanda lazima wavalishwe vitambaa cheupe kijani bluu e.t.c? Zile rangi huwaga zina maana gani? 2.je, ni halali au haramu mtu...
  2. Kapotea

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kurudisha email

    Inawezekana Ila nafahamu kwenye Gmail tu kwa sababu ishawahi kunitokea kwenye account yangu miaka 8 iliyopita Ila inachukua mda mpaka waifungue wajiridhishe kweli yako Sijajua Kama itafanya kazi kwa sababu privacy policy zinabadilika kila baada ya mda fulani
  3. Kapotea

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa ajili ya kujifunza Cybersecurity,Jinsi ya kujizuia kupata Cyber Attack Pia Ethical Hacking kutumia Termux na Linux enviroment

    Hakukosea yule mtu aliyesema "Nchi ya Tanzania ni chaneli ya vichekesho mbinguni"[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  4. Kapotea

    JamiiForums Tanzania Uliza chochote kama umekwama kupiga windows ama kuingiza operating system kwenye PC ama computer yako

    Inawezekana Ila sio kwa hizi kali za kawaida ingia google tafuta kali live image hiyo inakuwa ukichomia flash umeondoka na kila kitu then download version unayotaka alafu tengeneza bootable yake kisha endelea ku injoi maisha kabla hujafa chief
  5. Kapotea

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimekata tamaa ya kujifunza Hacking. Ninachoki-experience sio nilichokidhania

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa iyo mpaka muwe kwenye network Moja daah maisha haya...! Nyie ndio mwasababisha ma IT wanadharaulika wallahi
  6. Kapotea

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimekata tamaa ya kujifunza Hacking. Ninachoki-experience sio nilichokidhania

    Mkuu itagetemea na keyboard layout uliyozoea mfano kama Mimi nimezoea USA Niko chapa Atari ukiniletea British Arabic au french layout nambwela
  7. Kapotea

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimekata tamaa ya kujifunza Hacking. Ninachoki-experience sio nilichokidhania

    Mkuu Kuna watu wangapi Wana hizo degree wamefanya maajabu gani? Ili uwe mtamu inabidi ufikirie nje ya box hii kitu haitaji degree kiongozi Kama nakosea nirekebishe
  8. Kapotea

    JamiiForums Tanzania Wabongo wengi wanaojinadi ni hackers huwa ni kelele tu, kwenye vitendo ni sifuri

    Ni kweli 100% Ili uwe penetrater mnzuri Cha kwanza inabid ujue hiyo system inafanyaje kazi ukishajua ndipo utakapoweza kujua udhaifu uko wapi kwa uzoefu wangu hakuna hacker anayejua kudukua kila kitu hii ni kutokana na IT kuwa uwanja mpana sanaaa zaidi ya watu wengi wanabyofikiria isipokuwa kila...
Back
Top Bottom