Recent content by Kapena

  1. K

    JamiiForums Tanzania Msaada gari imegoma kuwaka ghafla

    Daaah.. Watu kumbe watabe kwenye magari.
  2. K

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Godoro, feni, meza na mtungi wa gesi vinauzwa

    Kirikuu elfu 5?? inategemea unaenda wapi. Kutoka Gongolamboto mpaka Ubungo sio chini ya 40,000
  3. K

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Godoro, feni, meza na mtungi wa gesi vinauzwa

    200,000/= unachukua? Maana kuna gharama za usafiri pia mteja ataingia, kuibeba kwenye kirikuu
  4. K

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Godoro, feni, meza na mtungi wa gesi vinauzwa

    Kwa nini unauza baada ya kuitumia week mbili. Tatizo nini.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Jinsi Ya Kupika Konokono Kama Chakula

    Uongo! Waliokomaa huwezi kuwatoa gamba lake. Lazima upike wale wadogo. Ambao gamba unalikata na kisu
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pub gani nzur jiji DSM, kuwe kwa kaiwaida tu sitaki habar ya masaki wala London external

    Kalabash wanafunzi wa UDSM wanajaaga panakua hovyo. Mara wapigane.
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pub gani nzur jiji DSM, kuwe kwa kaiwaida tu sitaki habar ya masaki wala London external

    Governers si ipo Impala Arusha
  8. K

    JamiiForums Tanzania Club nextdoor, london lounge na maisha basement ipi club kali?

    Unaishi Mabibo External?
  9. K

    JamiiForums Tanzania London Lounge! Club inayo hit mjini; karibuna hostel

    Bado papo? Naogopa kwenda Micasa wanauza nyama ya nguruwe kwangu haramu.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta Honda Fit wakuu!

    Haina noma mazee
  11. K

    JamiiForums Tanzania UMUHIMU WA KUJAMBA

    Ushuzi wa mtu mwingine unakera sana hata kama haunuki
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka kununua gari hii

    Ulifanikiwa kununua?
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri magari ya vitz new model

    Namie natafuta jamani
  14. K

    JamiiForums Tanzania Nauza Toyota vitz new model 2008

    Nadhan bado
  15. K

    JamiiForums Tanzania We are selling used cars from Japan

    Tatizo lake nini jombaa, tufungue macho! Maana nikiangalia VITZ ilivo na shape mbaya nawaza bora Passo
Back
Top Bottom