Mtengwa II
JF-Expert Member
- Mar 13, 2017
- 954
- 1,578
Natafuta Volskwagen old skuli namba D kwa gharama yeyote!
Kuna jamaa msela wangu yupo takukuru anacho kipya kabisa lakini muundo wake kama wa zamani vilevile.asee ni kikali balaaa kuna jamaa alimuoffer mil19 akakataa kabisa.akamjibu hata mi nahitaji kuwa na vitu vizuriNatafuta Volskwagen old skuli namba D kwa gharama yeyote!
Nimekapenda haka kagari shida hapo kwenye dashboard kuna vidude vya kunyonganyonga kama redio.TOYOTA VITZ LIGHT BLUE
YEAR: 2006
COLOR: L BLUE
MILEAGE: 78,000KM
DRIVE: 2WD
CC: 999
GRADE: F ADVANCED-ED
OTHER: AB ABS NV
FUEL: PETROL
CHASIS: SCP90-5051995
BEI YA GARI, USHURU NA USAJILI = 10.7 MILLION
MOBILE: 0742085793
WHATSAPP: 0715007546
Nimenunua Gari mwezi huu wa pili Feb 2019 kutoka Autocom, wakishakuuzia Gari , ukitaka msaada hupati kabisa, wanakurusha huku na kule, pia DOCUMENTATION ZAO HAZIPO SAWA, HAWANA MSAADA UKIWA KWENYE MATATIZO , WANAKUUZIA WEWE HALAFU UTAJUA MWENYEWE, KWENYE DOCUMENT ZAO HAWAANDIKI 'YEAR OF MANUFACTURE/PRODUCTION, NA KODI TANZANIA INATAKA DOCUMENTS ZIONESHE HIYO DETAIL ILI UKARIRIWE KODI, WAO WANAONESHA 1ST YEAR OF REGISTRATION AMBAYO MARA NYINGI INAKUWA NI MWAKA UNAOFUATA, SASA HAPO WEWE UKIKADIRIWA KODI UNAPATA HASARA YA KAMA $300...KUWA MWANGALIFU, HAWANA MSAADA KABISA HAO
Asante ndugu kwa tahadhariHakuna Majibu Hadi leo, imebidi nilipie kodi kubwa tuu, ili kuondoa usumbufu na TRA na kulipa faini za port storage, hii kampuni ni matatizo, ukitaka kujaribu ni juu yako
Usinunue hicho kigari ndg yang vibovu sana