Recent content by kapagawa

  1. K

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kukaa gerezani tupeane uzoefu wa mateso, msoto na vimbwanga

    Ndiyo bwana mkubwa hii itakuwa Karanga Sent from my iPhone using JamiiForums
  2. K

    JamiiForums Tanzania Magreth Kobelo Gonzaga anayetafutwa na TAKUKURU kwa kukimbia kesi ni nani?

    Alifariki huyu mkuu Sent from my iPhone using JamiiForums
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji coster namba c

    0678223844 nicheck
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji coster namba c

    Kama uzi unavyojieleza Nahitaji coster namba c bajeti yangu na 25-30 inategemea na uimara
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji coster namba C

    Kama uzi unavyojieleza; Nahitaji coster namba c bajeti yangu na 25-30 inategemea na uimara
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nimelala nimeota ndoto mliopo mpakani mwa Tanzania na Uganda tafadhali imarisheni ulinzi

    Ngoja wataalam wa ndoto waje
  7. K

    JamiiForums Tanzania I'm on my way...

    Download app ya taxify then utapata maelezo ni rahisi sana mkuu
  8. K

    JamiiForums Tanzania I'm on my way...

    Check my Taxify ride here Taxify Share ETA
  9. K

    JamiiForums Tanzania Dr. Cheni akanusha mfungwa Lulu kuonekana Uganda akila bata sikukuu ya Pasaka

    Hana huo uwezo bro. Mahakama pekee ndo inauwezo huo au rais kupitia misamaha yake jamani magereza isikieni tu kwanza mnahesaviwa most of the time hii yote ni kutowaamini watuhumiwa na wafungwa
  10. K

    JamiiForums Tanzania Dr. Cheni akanusha mfungwa Lulu kuonekana Uganda akila bata sikukuu ya Pasaka

    Hamna ndugu yangu kule asikudananye mtu nakwambia sana sana utaambulia kuishi vizuri kulala vzuri basi
  11. K

    JamiiForums Tanzania Dr. Cheni akanusha mfungwa Lulu kuonekana Uganda akila bata sikukuu ya Pasaka

    Unajua watu ambao hawajawahi kukaa gerezani huwa wanadanganyana sana tena sana. Yani hakuna askari wasio aminiana kama wa magereza na hakuna askari magereza anae mwamini mfungwa hata uwe mpole na mstarabu kiasi gani gerezani mfungwa anatoka na askari nje dakika tatu nyingi ukirudi lazima...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mkuu Wa Polisi Kawe Tuondolee Huyu Lesbian Mbezi Beach Anatuharibia Mabinti Zetu

    Kapicha ka tom boy jamani Sent using Jamii Forums mobile app
  13. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Maxcom Africa: Mkataba wa kukusanya faini za barabarani umekwisha?

    Na wale wenye madeni ya nyuma hawadaiwi tena
  14. K

    JamiiForums Tanzania E-mails kati ya James Rugemalira na Rais Jakaya Kikwete zitamaliza kesi

    Rugemalira mpunga wake mwingi umetokana na kushinda kesi Sasa serikali ijipange
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Sijapata suluhisho la mac book pro screen

    Neenda elite computer upanga ndo watakusaidia coz wao ni apple agent
Back
Top Bottom