Terrible Teen
JF-Expert Member
- May 1, 2017
- 1,006
- 2,930
Salaam Ndugu zangu, mnamo majuma mawili yaliopita niliweka mada mezani kuomba msaada kuwa mac book pro with retina display inch 13.3 imepata kitu kama screen crack kwa ndani hivyo kuleta mistari juu ya screen.
Walijitokeza wana JF wawili wakaahidi kufanyia kazi suala hilo. Niliagiza mtu kuwapelekea lakini kwa masikitiko makubwa wote hawajawa na suluhisho lolote. Kwa mwenye suluhisho tafadhali naomba.
Wenu katika ujenzi wa Taifa.
TT