Recent content by Kaory

  1. Kaory

    Je Maziwa ya Mama huwa yanaharibika?

    Kamua tu kwa afya ya mtoto
  2. Kaory

    Namna ya kumsaidia manzi wangu anapata sana shida akiingia period

    Hata watoto wa form one wanaumwa hayo maumivu, sio umri wa kuzaa
  3. Kaory

    Dah! Wife umenivunja moyo aisee na siamin!!

    Sasa waha tumeingiaje? 😀😀😀
  4. Kaory

    Kwa wanandoa, mnawezaje kuishi na mwenza usiye na hisia naye?

    Si kwamba alimuoa/kuolewa bila kuwa na hisia nae. Huwa katika kuishi maudhi, kauli, magumu, mepesi, yaani hisia zinaanza kupotea kidogo kidogo.
  5. Kaory

    DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

    Cha ajabu na zaidi hawataki barabara zitumike na mapolicmm nayo yako kukamata magari yanayopita hapo. Kweli wacha tuone vituko vya nchi hii
  6. Kaory

    DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

    Mara ya mwisho tulikuwa tunatumia kadi, ule mradi ukafa, sasa hivi mnatulazimisha kuntumia kadi ilhali pesa zetu zilipotea, kwa nini wanaoweza kutumia kadi mpya watumie na wasioweza watumie tiket? Pili, kwa wakazi wa kigamboni wanatumia kadi, kwanini kadi hizo hizo zisitumike kwenye mwendokasi?
  7. Kaory

    Msaada kufika hospital ya KIBAHA ya serikali

    Hapo mbezi kuna daladala zinafika mpaka hospitali inaitwa Tumbi panda hizo
  8. Kaory

    Soon nitamvalisha Pete ya uchumba Sasa ,kuna mabishano makali sana hiyo siku nani apige Goti

    Wanaume wenyewe hawa wa kibongo? Goti anakupigia na matukio anakupiga nayo pia
  9. Kaory

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    20,007 = ishirini elfu na Saba 27,000 = elfu ishirini na saba
  10. Kaory

    Naweza kupata kipimo cha MRI Jumamosi au Jumapili?

    Maeneo ya Isamilo kuna kituo cha vipimo wanafanya siku zote nimesahau jina
  11. Kaory

    Tunauza mabelo ya mtumba grade 1

    Naomba kujua mashuka 1 na mashuka 2 ni nini na bei zake
  12. Kaory

    Kwa wenye uhitaji wa kuagiza magari nje ya nchi

    Sawa, mpaka November ntakuwa na hiyo pesa
Back
Top Bottom