Recent content by KANYUZI

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kuna hatari Rais Magufuli akaingia katika mtego wa ufisadi unaomuhusisha yeye mwenyewe

    tunatumia hoja dhaifu sana kukosoa serikali tunapaswa kufikiri vizuri ili kuuaminisha umma kuwa serikali inakosea
  2. K

    JamiiForums Tanzania Magufuli ataendelea kumlinda Waziri Charles Kitwanga mpaka lini?

    huyu mbona kaumia zaidi asubili taarifa jamani
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    nishati MUHONGO. PM Mwakyembe labda wengine mmmmmh shidha sana.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Zinduka: Siasa inanunua watu, Polepole naye kanunuliwa

    tatizo kubwa ni kwamba wapiga kura mwaka huu hawahitaji uchambuzi wa masuala kama anavyofanya Polepole. wanachotaka wapiga kura huku kwetu Mhande Kwimba Mwanza ni kubadili chama na kwamba na wengine wale (eat) hawa wamekula mno. kwa hiyo suala sio maendeleo au mabadiliko ni kwamba watu wengine...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nape: Ni upuuzi ICC kusema inaangalia uchaguzi kwani si kazi yao

    ile ni mahakama ya dunia sasa kama mtu anaiona haifai yeye kidunia ni nani?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Usanii mpya wajitokeza Tanzania

    tusiangaike na kumchafua mtu tutachoka bali kama unamapenzi na chama hamasisha watuwapigie chama chako ndio dili. they have to get out to vote
  7. K

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2010

    tatizo la sasa vijana wengi si waelewa. hata ukieleza sera nzuri kiasigani wao wanataka chama kibadilike tu. kama tutaibiwa, kama maendeleo yataletwa, kama hali itakuwa nzuri au mbaya hawaelewii bwana. wanataka kubadili chama tu. madogo wamiaka ya 90 hawaelewi. hata siku ya kupiga kura wataamka...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Zito kabwe tatizo la ufisadi siyo mfumo tatizo ni mtu

    pengine ni kweli maana kuna wanaccm waliowahi kuiongoza nchi hii na utawala wao tunajivunia pamoja na mfumo wao mf. Nyerere na Mkapa. pengine shida ni mtu. matatizo yakiwa makubwa za ndipo tunagundua udhaifu wa kiongozi. kama tunashindwa kulipa madeni na raia wenzetu wanasamehewa kodi basi...
  9. K

    JamiiForums Tanzania CCM Kimeandaa propaganda dhidi ya ujio wa Lowassa CHADEMA/UKAWA

    nitakuwa wa mwisho
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

    na mimi nitakuwa wa mwisho ya mwisho
  11. K

    JamiiForums Tanzania CCM: Kutoka kuchekeana hadi kutishana

    sawa jamaani hatuna namna. wapigane tu
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kutoka kijiji cha Harar, Haydom Mbulu mpaka tano bora ya CCM Dodoma na Urais

    hivi sasa upepo wa siasa umepoa ngoja Lowassa akatwe upepo wote unahamia ukawa ukichanganya na hili lamikataba ya lazima ndio bassiiiii.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ikibainika kuwa ni kweli, Mbowe you have to resign

    huyu si mtumishi wa umma na hayuko serikalini naomba watajwe wa serikalini
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa kuhitimisha Ziara ya Katibu Mkuu wa CCM mikoani, A. Kinana jijini Mwanza - June 28, 2015

    hakuna mwana CCM asiyetumia hela isipokuwa UKAWA tu hata wao zinatumika kiasi chake
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kinana: Chama cha Mapinduzi kinarudishwa kwenye msingi wake, asiyetaka aondoke

    huo ni wogandani ya ccm na vyama vingine hakuna mtu safi. tunataka rais mwenye kauli, leo mafuta ya taa hamna sheri zote Mwanza halafu mnazungumzia mtu na ulaji wenu wa baada. achaeni bwebwe anayeongea asidhani hafahamiki wote walewale. inaonekana CCM inamwogopa Lowassa kuliko upinzani why
Back
Top Bottom