Uchaguzi 2010

IQ M

JF-Expert Member
Mar 4, 2015
616
320
waliojiandikisha kupiga kura mil 20137,303.waliopiga kura ni mil 8626,283.zaidi ya raia mil 11 hawakupiga kura,hv ccm wanajua wale mil 11 kwa nn hawakupiga kura?hv ccm wanajua kwamba hao raia mil 11 mwaka huu wamepata mbadala wa uhakika na watajitokeza kwa hasira kupiga kura?jumlisha wale waliopigia kura upinzani ambao ni kati ya wale mil 8? jumlisha damu mpya ya dot com?ndo maana lowasa ana uhakika tar 25/10/2015 ushindi ni asubuhi na mapema.
 
Lugha moja tuu,'tumechoka' tunahitaji mabadiliko.
Hatuna sababu ya kuwa masikini.
Hatuna sababu kukalia matofali ya kuchoma shuleni.
Hatuna sababu kukosa matibabu na vifaa tiba mahospitalini.
Hatuna sababu kufa kwa njaa ilihali tuna ardhi nzuri yenye rutuba.tunamito inatiririsha maji kusikojulikana.
Hakuna mazao ya biashara yanayomnufaisha mkulima mpaka sasa anzia kahawa,pamba,katani,korosho,buni,
Tumechoka. Kuishi kwenye nyumba full suti. Juu udongo chini udongo kama fuko.
 
tatizo la sasa vijana wengi si waelewa. hata ukieleza sera nzuri kiasigani wao wanataka chama kibadilike tu. kama tutaibiwa, kama maendeleo yataletwa, kama hali itakuwa nzuri au mbaya hawaelewii bwana. wanataka kubadili chama tu. madogo wamiaka ya 90 hawaelewi. hata siku ya kupiga kura wataamka saa 7 kama wakati wa kujiandikisha. mungu tusaidie
 
Back
Top Bottom