Recent content by KANYIMBI

  1. KANYIMBI

    Kila mwanasiasa atakaeichezea nchi hii bendera itapeperushwa nusu mlingoti

    Kasema ukweli tu. Hajamtaja mtu Wala mtoto wa mtu. Shida ipo Kwa mtoa mada kamtaja Tundu Lisu (Nae Wala hajatajwa)
  2. KANYIMBI

    Sijaona Mtanzania mwenye akili kama Lissu jamaa yupo nondo sana

    Kwa Kibatala hata mimi nakubaliana nawe. Huyu ni Hazina kubwa kwa nchi. (Anajua kujenga hoja zenye mashiko bila jazba, Ana-knowledge ya mambo mengi hata ya nje ya sheria pia ni mvumilivu)
  3. KANYIMBI

    Tetesi: Majaliwa anapigwa chini kiujanja

    PM anajiandaa kuwa mgombea Urais wa chama tawala. Mama atapumzika
  4. KANYIMBI

    Simba haijatuma wawakilishi kwenye mkutano wa Waandishi wa Habari kuelekea Kariakoo Dabi

    Walishatoa taarifa rasmi kuwa hawatacheza mechi yoyote nje ya tarehe 15 June. Hii mechi ya tarehe 25 June Chezeni Yanga na Ikulu Fc
  5. KANYIMBI

    Wanasimba wenzangu twendeni tukaujaze uwanja wa mkapa leo june 15

    Naunga mkononi hoja. Uzuri Simba haijatoa tangazo jipya linguine zaidi ya Lile la kuitambua mechi ya Leo. Twendeni Kwa Mkapa
  6. KANYIMBI

    Nawaonya Simba, Serikali imeshapanga mechi ya derby ni tarehe 25.06.25 , Ole wake atokee mtu aongee kitu au kupinga Atashughulikiwa Ipasavyo.

    Simba imebakisha mechi mbili tu. Kisha itaruhusu wachezaji wakasalimie familia zao kabla ya kurudi Tena kujiandaa na pre season Hiyo game ya tar 25 icheze Ikulu fc na Yanga.
  7. KANYIMBI

    Kwanini Viongozi wa Simba SC Wanatudharau mashabiki na wanachama wao kiasi hiki?

    Mbona walishawajulisha mashabiki kuwa hawatacheza Michezo wowote iwapo huu wa tar 15 ukiahirishwa. Wewe unataka watoe tangazo mara mbili? Simba wana akili kubwa. Huwa wanatoa tangazo Moja tu Kisha wanakaa kimya. Mama Samia ambae ni shabiki wa Yanga, kaingiliq masuala ya Michezo kinyume na...
  8. KANYIMBI

    Kuna nini katikati ya mbuga ya Serengeti?

    Hilo eneo mtu wangu wa Karibu ameniambia Kuna Hoteli kubwa ya kifahari. Ukiwa humo ndani unaweza kuona Hadi mahali walipo wannyama Kwa kuangalia screen na CCTV camera zilizopo mbugani Serengeti. Ni Hoteli ya ghali sana. Wanaingia watu matajiri na viongozi wa juu wa nje ya nchi. Pia Kuna...
  9. KANYIMBI

    Yanga ni kama kitinda mimba mkiwaendekeza watawapanda kichwani; TFF na bodi Msiogope; wasipocheza kateni point sheria itajitetea yenyewe mbeleni

    Kasongo na Kidau wakijihudhuru hiyo ndio itaonyeshwa kuwa Yanga ni kubwa kuliko TFF. Na huo ndio utakuwa utoto wenyewe
  10. KANYIMBI

    Bodi ya Ligi yapigilia msumali suala la derby, yasema ipo na lazima ipigwe Juni 15, 2025

    Pacome amefanya maamuzi sahihi sana kwa kusaini Simba. Msimu ujao Atawashuhudia wenzake wakicheza Ligi daraja la kwanza
  11. KANYIMBI

    Ali Kamwe: Kasongo alisema Kuna Kiongozi mkubwa wa Serikali alipiga simu geti la Uwanja wa Taifa lisifunguliwe

    Sasa huyo kiongozi alieamrisha mageti ya uwanja yasifunguliwe mbona tulimsikia akitamba huko bungeni kuwa Hatuchezi. Ni mjumbe kwenye Kamati za timu ya Yanga Pia anaifadhili Singida big stars *Fifa inaweza kutufungia Kwa sababu huyu ni kiongozi wa Serekali ameingilia mambo ya Michezo Kwa...
  12. KANYIMBI

    Mwamba huyu hapa

    Staili ya Maisha hazifanani. Kila familia Ina aina yake ya kuendesha Maisha. Zipo Ndoa zinaishi vizuri utazani wapo peponi. Zipo nyingine wanapitia machungu muda wao wote Mmomonyoko wa maadili Kwa kizazi Cha Sasa unaweza pia kuiona Staili ya huyu jamaa ikawa ni Bora.
  13. KANYIMBI

    Simba anashinda goli 4 na anachukua ubingwa leo

    Hadi Sasa utabiri upo sahihi
Back
Top Bottom