Recent content by Kanye 360

  1. Kanye 360

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana mume wa mtu kumpenda mwanamke wa nje kwa dhati kabisa?

    Hamna kisichowezekana chini ya jua
  2. Kanye 360

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Kama umesoma 'private school' atakayekupa mkopo ni kichaa

    Chakuambiwa changanya na cha kwako,kuna vitu ktk upeo wa kawaida wakwako binafsi unaona kabisa hakiwezekan...iyo labda ni vision yake
  3. Kanye 360

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Kama umesoma 'private school' atakayekupa mkopo ni kichaa

    Amesema we have limited resouces and unlimited demands that we can not satisfy so kidogo kilichopo kitumike kwa wahitaji
  4. Kanye 360

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Kama umesoma 'private school' atakayekupa mkopo ni kichaa

    Haya yote kwenye fomu ya mkopo yanaonekana na ndugu yangu amesoma private kuanzia shule ya m.singi had high school lkn amepewa mkopo kwa sababu sasa hivi ni Yatima
  5. Kanye 360

    JamiiForums Tanzania MOROGORO: Rais Magufuli afungua kituo cha kisasa cha mabasi Msamvu

    Kama mradi ulianza wkt wa jk na ukakamilika wakat wa Magu wote wakiwa chini ya CCM sioni kama kuna shida yeye Magu akifanye uzinduzi au nia yenu ni angekuja JK mwenyew azindue mrad ndo muwe na Furaha?..kijiti ameshapokea Magu acha akikimbize
  6. Kanye 360

    JamiiForums Tanzania MOROGORO: Rais Magufuli afungua kituo cha kisasa cha mabasi Msamvu

    Wanatekeleza ilani ya chama cha mapinduzi sioni kama kuna ubaya
  7. Kanye 360

    JamiiForums Tanzania Picha za Kikwete akiwa daraja la mto Kilombero

    Wote wanatekeleza ilani ya CCM..
  8. Kanye 360

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada ambao huwa wanatafuta makalio makubwa huwa wanataka wamkalie nani?

    Kushika shundu rahaa
  9. Kanye 360

    JamiiForums Tanzania Kama siyo mafisadi (Dar-Mbeya) Dar-Mwanza road ilitakiwa iwe hivi..

    Karibu Arusha ujionee barabara kama hizo
  10. Kanye 360

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Boeing kuliinua zaidi AirTanzania yatoa ndege kwa Fujo kwa AirTanzania

    Kupaa angani
  11. Kanye 360

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Wakuu ningependa kujua chimbo la vifaa vya viatu,kuanzia kamba,soli,makapeti ya viatu na rangi mbalimbali kwa bei ya jumla hapo k.koo
  12. Kanye 360

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusiana na biashara, masoko na mauzo

    Nauliza juu ya biashara ya vifaa vya viatu..kuanzia kamba,soli na rangi mbali mbali za viatu je inalipa?na ivo vifaa naweza vipata wap kwa bei ya jumla?
  13. Kanye 360

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli piga marufuku Dodoma kurudia majina ya Dar

    Hivi Dar hamna sehemu inaitwa Kagera?
Back
Top Bottom