Ndg zangu wanabodi,nawasalimu nnyote.
Ni kweli kwamba Mh Rais Magufuli si malaika kwamba,kila afanyalo asipate mtu wa kumkosoa.Hiyo ni hulka ya binadamu na hakika hakuna aliyekamilika.
Lakino ndg zangu,kama angepewa nafasi na kueleza uchafu,upuuzi,wizi na ujambazi uliofanywa kwenye rasilimali...