Umeanza vizuri sana ila umekosea kumalizia unapoanza kufananisha tamaduni ya nchi moja na nyingine. Acha kwa kuishi kwa kufuata nini kimefanyika wapi. Laiti mataifa hayo yangefuata kile nchi nyingine inachofanya, dunia isingekua hapa ilipo. Ndio maana kuna ushindani wa ubunifu kila kunapo kucha.
Mungu gani aliweka hii pasaka? Wewe ongea ulichotaka kusema Ila sio sababu kwamba tutapata laana, Hii pasaka imewekwa na wachache, pasaka yafaa kuliwa wakati wowote ule kwa ajili ya kumbukizi ya Kifo cha Kristo sio lazima kwa kalenda flani flani. Fuata na tii sheria za nchi na Mungu atakubariki...
Habari wataalamu wa mambo!
Inachukua muda gani kuwa approved na approver ili kupata check number na kuanza kupata mshahara endapo taarifa zako zimeisha tumwa.
Asante
Kwanza walidai kaalikwa bunge la EU, Lissu mwenyewe akakanusha, hivyo Hawa wafuasi wa huyu bwana ni wakupuuza tu, ukiona post yao wewe isome alafu tabasamu kisha kunywa maji barid na uendelee na kusoma reply zao huku ukifurahi wanavyo jipa moyo.
Miaka mitano ya Magufuri ndio kumekua na makampuni (agents) wengi wakuagiza mizigo na magari nje ya nchi, na watu wanaagiza kila iitwapo leo. Hii nitafsiri tosha kua tunakua kiuchumi na hata kwa pato la mtu mmoja mmoja.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.