Recent content by kanta

  1. kanta

    Msala wa vitabu feki wamkimbiza mkurugenzi Jamana Printers

    Ni kweli Shabbar yupo Ila Kazim kaondoka kimoja, nina uhakika na taarifa hii na mpaka sasa yeye na familia yake wapo Dubai,kahamia huko.Rao bado yupo kama General manager ni vizuri nae akabanwa juu ya suala hili.
  2. kanta

    CHADEMA wamtaka Kaimu Jaji Mkuu kukomesha vitendo vya baadhi ya Mahakimu kunyima haki ya dhamana wanachama wa CHADEMA

    Haitasaidia kwa kuwa hata huyo waliyemwandikia barua ni mteule anayekaimu, anataka kupewa hiyo nafasi permanent na rais, na kwa trend ya sasa hivi kiongozi anayekandamiza upinzani ndio anaonekana wa maana.Watafute njia nyingine ya kuondokana na mkwamo huu wa demokrasia.
  3. kanta

    Msala wa vitabu feki wamkimbiza mkurugenzi Jamana Printers

    Mmoja wa wakurugenzi katika kampuni ya uchapishaji ya Jamana Printers (KAZIM) amekimbia nchini baada ya sakata la vitabu vya serikali vilivyochapishwa na kampuni hiyo kuwa chini ya kiwango. Kampuni hiyo ilipewa tenda na serikali ya kuchapisha vitabu LAKI TATU NA NUSU lakini vimeonekana kuwa...
  4. kanta

    Manji kuwasili polisi nje ya utaratibu ni ukaidi; ajiandae kulala sero

    Kashafika na kuondoka,labda wewe ndio ujiandae sasa.
  5. kanta

    Bora mapungufu ya Jakaya Kikwete yaliendeleza Demokrasia

    Mapungufu ya JK hayakumgusa mwananchi moja kwa moja, yalikuwa na muonekano wa kiujumla zaidi lakini sasa kila mwananchi analalamika juu ya mapungufu ya huyu bwana, maana yake ni kwamba mapungufu yake yanaenda moja kwa moja kwa raia wa kawaida huku ukuaji uchumi ukibaki kwenye makaratasi ila...
  6. kanta

    Wizara ya Mambo ya Ndani: Atakayesema kuna njaa tutamkamata na kumwajibisha

    Kwa hiyo mtu akiwa na njaa na anataka msaada akae kimya? Au atumie neno gani ili aeleweke? Yaani tumefikia mahali tunachaguliwa maneno ya kuongea! Njaa ni neno sahihi la kiswahili ambalo hata mwanangu huwa analitumia sana akiwa anajisikia hali ya kutaka kula, je naye ni mchochezi? Yaani mtu...
  7. kanta

    Kafulila: Nimerejea CHADEMA rasmi leo

    Nimefurahi Kafulila kurudi but nadhani it is not a big story,na hii inatokana na kwamba anatoka NCCR Mageuzi chama ambacho ni mshirika wa UKAWA, impact yake ni ndogo sana kwa UKAWA kiujumla though kuna manufaa kwa chama chetu cha CHADEMA kwamba tumepata mtu muhimu ambaye ni mpambanaji.Kwa upande...
  8. kanta

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali(AG), Waziri wa Sheria na hawa wajiuzulu mara moja

    Wataanzia wapi kujiuzulu wakati hawataki kitumbua chao kuingia mchanga, kama kawaida watu wengi waliopo kwenye serikali wapo kwa ajili ya kumfurahisha mkuu badala ya kutenda kazi kwa weledi,wameruhusu mtu mmoja avunje katiba huku wakimwangalia tu na kumshangilia, mbaya zaidi wanamsaidia dhambi...
  9. kanta

    Uvamizi wa Gambia, umezidi kuipunguzia Afrika heshima nje ya Afrika!

    Kuhusu kuwa na mfalme au la ni jambo lililokubaliwa na wenyewe kama Wagambia walivokubali kuwa na rais anayepatikana kidemokrasia, Swaziland wakikiuka taratibu za kumpata mfalme wao wataingiliwa kama huyu bwana alivyokiuka katiba ya nchi yake.Haiwezekani mtu mmoja anahatarisha taifa kuingia...
  10. kanta

    Uvamizi wa Gambia, umezidi kuipunguzia Afrika heshima nje ya Afrika!

    Hakuna njia nyingine ya kuwalea viongozi wapuuzi kama huyo, kwa jumuiya zinazojitambua huwa wanafanya hivyo,kuendelea kuleana eti kwa sababu ya uhuru wa nchi ni upuuzi.Kama inawezekana vionozi kama hawa wote Africa wanyooshwe, sio lazima tutumie njia za ulaya kufikia malengo yetu, hata sisi...
  11. kanta

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu yamthibitisha Benjamin Sitta kuwa Meya wa Kinondoni

    I hope kutakuwa na room ya kukata rufaa ili kulipeleka mbele suala hilo, kimsingi kwa jinsi hukumu zinavyotolewa siku hizi ni wazi kwamba hakimu kaendeleza tabia ya kutoa hukumu kisiasa, hiyo kesi ilikuwa wazi sana, hata mimi nisiyejua sheria nimeweza kulitambua hilo lakin hakimu kaamua kuvaa...
  12. kanta

    Polepole: Wapinzani wamekuwa na juhudi kubwa ya kuchonganisha na kuifitinisha serikali na wananchi

    Siasa ya ujamaa na kujitegemea ilishajifia kifo cha mende,kama sera hiyo ingekuwepo leo hii tusingekuwa omba omba kama nchi, kujitegemea si kwa mtu mmoja mmoja tu bali hata nchi inatakiwa ijitegemee ndipo unapoweza kusema sera ya ujamaa na kujitegemea ipo.Kwa sasa watu hawawezi kujitegemena kwa...
  13. kanta

    Sioni fundi wa kuumaliza upinzani nchini!

    Mimi mwenyewe nilijua tumeumia alipoingia Faru John, maana allianza kwa mikwara ambayo niliamini ilikuwa na nia thabiti kumkwamua mwananchi kwenye lindi la umasikini lakini na hivyo kutupa wakati mgumu wapinzani kwenye kujenga hoja za kuwashawishi wananchi maana tulifikia hata kusema kuwa...
  14. kanta

    Waziri Mkuu aliyefanya kazi chini ya kiwango tokea Uhuru wa Tanganyika

    Asante kwa tathmini yako, hatukatai kwa kuwa hayo ni mawazo yako na ndio mwisho wako wakufikiri ulipoishia,lakini kumbuka kwamba Lowasa ndiye aliyesimamia uanzishwaji wa shule za kata, allisimimia ipasavyo ujenzi wa mradi wa maji kanda ya ziwa, alisimamia ipasavyo kuwasaidia watanzania pale baa...
  15. kanta

    Rais Magufuli: Wakulima pandisheni bei za mazao kadri mtakavyo

    Hapo atakuwa kawanufaisha wafanya biashara, wakulima walishauza mazao yao kwa wafanya biashara na ndio wanaoukfa na njaa kwa sasa.Kuwaambia eti wauze chakula kwa bei kubwa ni kuwakebehi tu kwani hawana kitu, wanahitaji msaada wa serikali ili wajinusuru na baa la njaa linalowakabili kwa...
Back
Top Bottom