Muungano huu amba Tanzania Visiwani wanautaka wa kuwa na haki sawa kati ya Zanzibar na Tanzania Bara haupo, Angalia Idadi ya watu, angalia eneo la ardhi, mahitaji n,k. Tanzania Visiwani wakati miaka ya 70s tulikuwa tunajua ni mikoa miwili ya Tanzania. Leo wanakuwa wakali kuambiwa mikoa wanataka...