UISILAMU dini huwezi kuitafautisha na siasa kwa sababu ni sehemu ya maisha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UISILAMU dini huwezi kuitafautisha na siasa kwa sababu ni sehemu ya maisha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kansiana, Jun 17, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. k

  kansiana Member

  #1
  Jun 17, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni matamshi mara kadhaa yamekuwa yakirudiwa na wanazuoni wa Kiislamu kuwa huwezi kutenganisha uislamu na siasa kwa sababu ni sehemu ya maisha. Bila shaka jambo hili linahitaji mtazamo makini kwa kile ambacho kinaonekana kutofautina na wanachoeleza, vinginevyo siku za baadaye watajikuta wanazuoni hawa wana halalisha vitu kwa matukio na si kile kilichoandikwa kwa misingi ya imani. Kwangu tafsiri ya kwanza kabisa ya neno SIASA ni UDANGANYIFU. Nikirejea nyuma kwa nukuu 'Politics as deception' - A popular use of the term POLITICAL denotes DEVIOUS, shift behaviour generall aimed at securing personal advantage usually position of office.

  Ninachotaka kuchangia hapa ni kwa wenzetu waislamu inakuaje SIASA kwa ikawa SPIRITUAL ISSUE baada ya kukemea wanasiasa kwa sababu ya ulaghai wao na kuwa wao ndio wana-monopolize huo ulaghai?

  Ninaamini juu ya mipaka kati ya SERIKALI NA MUNGU, na sehemu kubwa ya mambo yanayofanywa na serikali yanahitaji kukemewa na kurekebishwa vinginevyo hatutakuwa salama kama jinsi wanazuoni wa kiislamu wanavyotaka kuhalalisha uislamu kuwa sehemu ya siasa.


  
    
  
   
 2. Kwetu Iringa

  Kwetu Iringa JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 359
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Je, kuna aya yoyote kwenye kurani inayosema siasa = uislamu??

  Kwa sisi Wakristu siasa ni mambo ya dunia, haiwezi kuwa part and parcel ya ukristu!!

  Au ndiyo maana mtawala yeyote muislamu, awe muumini mzuri wa uislamu au awe muislamu wa kuzaliwa tu, hupachikwa cheo cha Seikh!!

  Jamani tuwaache wazenji waende zao sisi tuishi salama.
   
 3. S

  Sideeq JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 2,417
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mkuu liweke sawa swali lako, halielweki.
  Wakati ukijitayarisha kuliweka sawa swali lako zingatia kuwa:
  Islam: is the surrendering and submitting to the law of Almighty God.
  Politic:Wise and showing the ability to make the right decisions.
  i.e It would not be politic for you to be seen there.
  Cambridge dictionary.
   
 4. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #4
  Jun 17, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Yeah....kama ilivyo vigumu kutofautisha uislam na ulalamishi pamoja na vurugu zisizo na maana.
   
 5. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #5
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,347
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  Uislam na siasi lazima viende pamoja na ndio maana waislam ndio waanzilishi wa vurugu sehemu zote, angalia nchi nyingi ni dini gani inayoanzisha na ukiingia kwa undani utakuta wanapitia kivuli cha udini ila ndani yake kuna siasa ndio maana hata uamsho wamesema hawataweza kuendelea bila kuzungumzia muungano
   
 6. l

  leloson Member

  #6
  Jun 17, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mhh! passingby
   
 7. k

  kigu Senior Member

  #7
  Jun 17, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 183
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  mashekh wakisema dini na siasa kitu kimoja, mnaona wamekosea na kujifanya mnajua uislamu kuliko wao!! lakini maaskofu wakisema inaonekana kawaida!!, pengo alishawahi kusema kanisa halitenganishwi na siasa, katika uchaguzi uliopita(2010), na katika vuguvugu la Arusha , maaskofu jimbo la Arusha walito tamko la kumpinga meya eti hawamtambui!! KAMA SIO SIASA NI NINI?, wakaungana na chadema.......wewe wa wapi?. MASHEKH WAKO SAHIHI!
   
 8. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #8
  Jun 17, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145

  TURKEY wameweza kutenganisha Siasa na Dini na wameendelea sana kuliko nchi nyingi za kiarabu zinazotawala kutumia DINI na Siasa Pamoja kama SAUD ARABIA -- wanavyowanyanyasa wananchi wao kwa Ubaguzi, Bahrain Sunni na Shiite wanavyopambana
   
 9. M

  Mkandara Verified User

  #9
  Jun 17, 2012
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mkluu jaribu sana kujibu hoja na sio kupachika vilaka mahala ambapo hakuna tobo. Uturuki wameendelea nini? hivi maendeleo mnayapima kwa uzungu au?..Kwa hiyo Haiti maskini kwa sababu Wakristua japokuwa wamepata Uhuru miaka 200 iliyopita. Au unataka kusema vita ya RDC wameuana watu mil 3 kwa sababu ni wakristu?... jamani hivi kweli mlisoma shule zipi nyie wenzetu hadi mkawa brain washed kiasi hiki.

  Swala hapa ni Uislaam na Siasa, jambo ambalo m,adai haya yapo hata kwenye Ukristu na hawapishani ktk kuitazama siasa. Yesu mwenyewe aligombana na utawala wa Kaizali akilitangaza jina la bwana na alipingana na maamuzi yalohalalisha vilivyo haramu ikiwa ni pamoja na kamari. Walimweka msalabani kwa sababi siasa ziliona anaingilia maswala yao na kadhalika.. na wewe unaamini kujitoa mhanga kwa Yesu against wanasiasa kwa ajili ya makosa yetu (protecting your faith). Sasa kigumu kipi hapa kwako wewe?..

  Makosa makubwa yanayofanywa na viongozi wetu wa dini ni pale wanaposhindwa kutetea aya za imani ya dini ktk maamuzi ya serikali kuhalalisha. Dini inalenga kuwajenga WATU kiimani ktk UTU wao, na Siasa inalenga maamuzi mazuri ktk kukidhi mahitaji na huduma za watu wake. Hivyo dini inaweza tu kuwa siasa pale UTU wa wananchi wake unapoingiliwa na siasa pia dini zetu hazitakiwi kabisa kungilia maswala ya kisiasa ktk mahitaji na huduma. Ya Kaizali mwachieni Kaizali - Siku hizi imekuwa kawaida kabisa kwa dini zetu kuingilia ya Kaizali lakini wepesi sana kunyooshea vidole Uislaam unaopinga siasa au serikali kuingilia yale ya kiimani.
  Uislaam kama dini inatofautiana sana na SIASA toka malengo hadi mafundisho yake isipokuwa Uislaam utaingilia kulinda pale siasa zinazopoposha UTU wa watu wake.
   
 10. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #10
  Jun 17, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Acheni vipofu waongozane
   
 11. S

  Sideeq JF-Expert Member

  #11
  Jun 17, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 2,417
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Umechanganya haki na batili!
  Je, unataka kuonyeshwa?
   
 12. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #12
  Jun 17, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Dunia ingekuwa sehem nzuri ya kuishi kama wangekuwa hawapo! Dunia yote wao wanaleta tabu tu.
  Wanasahau kwamba Biblia
  imeshasema kwamba
  ISMAEL hakupewa na Mungu kuwa mfalme bali alipewa ISAKA. Ishimael aliambiwa atakuwa mwana punda! Leo hii mzungu ni Isaka mwarabu!, Isaka ni wakristo Ishimael ni waislam! Kwa hiyo msipoteze muda.
   
 13. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #13
  Jun 17, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,497
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  Mkuu ni mpango wa Mungu magugu na ngano kuota pamoja.
  Suala la Ismael wa kwenye biblia kusema ndiyo waislam sio kweli kwani hakuna mahali bibilia imesema hivyo. Hayo ni maneo yao tu ya kujifananisha na watu walio juu yao.
   
 14. P

  Ponera JF-Expert Member

  #14
  Jun 17, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 556
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kama siasa ni uongo mlitoa waraka wa nini? uislamu hatenganishwi na siasa ila unataka siasa safi.
   
 15. B

  Bob G JF Bronze Member

  #15
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Ni ukosefu wa akili kuchanganya dini na siasa, na matokeo ya kuchanganya siasa na dini ni haya makundi ya kigaidi kama UAMSHO
   
 16. J

  John W. Mlacha Verified User

  #16
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  akili zimeshindwa kufikiria
   
 17. TZ biashara

  TZ biashara JF-Expert Member

  #17
  Jun 18, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 523
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Uisilamu ni mzuri kwa waisilamu
  Ukristo ni mzuri kwa wakristo

  Sasa wasiokuwa waisilamu sidhani kama mtakuwa na elimu tosha ya uisilamu na kujua kweli kama hauwezi au unaweza kutenganisha dini na siasa.Ila waisilamu ndio wenye ufahamu kama wanakosea au wanatenda walioagizwa na mwenyezi mungu.Na kama wanafuata maagizo ya mwenyezimungu nauhakika watakuwa wanahitaji siasa iliyo safi na isiyo na upendeleo wala dhulma.Mara nyingi kwa wale wasio waisilamu hampendi kuona waisilamu wanapigania haki vile wanavoamini na tunashuhudia siasa ya viongozi wetu kuwatendea wananchi dhulma ambayo ndio inaendelea na itaendelea mpaka na nyinyi msio waisilamu kuungana na kupinga siasa potofu na kujenga siasa safi iliyo na haki kwa kila mtanzania na isiyo bagua dini wala kabila.
   
 18. Eddy M

  Eddy M Member

  #18
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 60
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Mmmmh! kwa hali hii bora nende zangu nikaishi Somalia
   
 19. kwamwewe

  kwamwewe JF-Expert Member

  #19
  Jun 18, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,315
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  WEWE MKRISTO GANI HEBU MSOME PADRI WAKO ANAVYOKUAMBIA ‘Siasa bila dini ni uendawazimu’
   
 20. kwamwewe

  kwamwewe JF-Expert Member

  #20
  Jun 18, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,315
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...