Taifa limezalisha viongozi wapiga kelele bila kuwa na mchango kwa taifa,
Nauliza
Taifa na watanzania wanafaidika ka kuchokonoa serikali au ktk njaa au kuonyesha wewe ulilima kiasi gani na kuwasaidia wananchi ktk HALI hii ya ukame,
Viongozi walalamikaji hawana tija kwa taifa,
Taifa letu limekuwa na wimbi LA viongozi wapiga domo tu na walalamikaji badala ya wao kama viongozi kutoa mchago wa moja kwa moja kwa wananchi.
Mfano:
Wabunge wetu kila siku utasikia serikali haijengi viwanda, hakuna viwanda, serikali haijafanya kitu,
Maswali kwao:
1, Viwanda vinajengwa na...
Zipi sababu za MTU bora kabisa kutoka upinzani mwenye sifa za kuwa Rais wa nchi hii kuwa ni Mnyika peke yake, kwa vigezo vyote, ukimuangalia usomi na hata uwezo wake na weredi wake.
Sijui ni lini atapewa nafasi hii lakini natembea kwenye njozi hii, Lowasa ni msafisha njia kama Dr slaa na...
Babu mabadiriko anajua maana ni yeye kuingia ikulu kumbe yeye sio wa muhumu sana , mungu hawezi kufanya mabadiriko ya kumuingiza shetani madhabauni utangaika sana adi mwisho wako,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.