Taifa letu limekuwa na wimbi LA viongozi wapiga domo tu na walalamikaji badala ya wao kama viongozi kutoa mchago wa moja kwa moja kwa wananchi.
Mfano:
Wabunge wetu kila siku utasikia serikali haijengi viwanda, hakuna viwanda, serikali haijafanya kitu,
Maswali kwao:
1, Viwanda vinajengwa na nani?
2, Mbunge akihamasisha wafadhiri wawekezaji wajenge viwanda majimboni kwao kuna ubaya gani,? Wabunge wakihamasicha wadau kuungana na kujenga viwanda au kuanzisha mashamba ya pamoja ya kilimo ,ufungaji. Kwa vijana kwenye majimbo yao kuna ubaya gani?
3, Serikali kwenye suala LA viwanda inaongea na watu kwenye uwezo wanajenga au kuanzisha taasisi za kilimo na mifugo nchi je wabunge hawawezi kufanya hivyo.
Badala ya kuwa wasikilizaji na walalamikani tu kama watu wa vijiweni.
Ushauri kwa wanasiasa:
Haswa wabunge, badala ya kulalamika na kuishi kwa maoea ya kutenga muda wao wote kujenga vyama sasa wafanye kazi, maana hawalipwi na vyama vyao Bali wanalipwa na kodi za wananchi, wanapaswa kusaidia wananchi badala uvuvuzera tu na kelele zisizo kuwa na tija ambazo zimesikika miaka yote lakini hazitusaidi kama taifa,